kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,162
- 16,850
- Thread starter
- #21
Pale dar es salaam anatembeza kendes zao kwenye barabara za kisasa kabisa, mji unavutia kila kona. SGR ndio kabisaa wananing'iniza zakaris zao kwa furaha kabisa. Bandari ile walikuwa wanaifaidi matapeli na wahuni wachache kabisa, wahuni na wapuuzi walikuwa wanataka kutuaminisha kuwa eti bandari imeuzwa, sasa hivi bandari imekuwa mkombozi wa taifa hili, mizigo bwelele kila kona tunakosa pa kuiweka.Ni wazi huna taarifa za uhakika bali ni chuki yako binafsi kwake,na kwa mtu kama wewe ni ngumu kukuelezea ukaelewa,hata hivyo hivi unajua ni wanafunzi wangapi wanapewa mikopo kusoma vyuo vikuu? Unajua ni kiasi gani cha pesa hicho?Hakuna Rais yoyote aliyepita ana rekodinya kutoa fedha nyingi kama Samia,ama eti ni miradi ya mtangulizi wake,je fedha za kulipia miradi hiyo ameleta mtangulizi wake?Hivi unatembea nchini uone hospitali na shule alizojenga?Tuache kumchukua mtu bilashi
Kaka taifa hili halijapata kuwa na Rais mahiri kama huyu, wengine wote walikuwa wabadhilifu kwa njia moja au nyingine. Mfano, Mwl Nyerere alitapanya hela zetu kuikombolea Afrika na vita ya kumrudisha Obote madarakani huko Uganda. Alikuwa anataka sifa za binafsi tu.