Today is My Birthday

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Leo nisiku yangu ya kuzaliwa tarehe 13 inahusishwa na shetani
Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha hata kufika hapa...
Nawakaribisha wana JF wote watakao weza kufika nyumbani Kibasila str karibu na Shaban Robert School mpate japo cake na pombe
Love u all
 
Happy bday our Boflo. Naomba unipatie ramani vizuri (ikihusisha na house number )nitakuja hapo by saa 3 usiku...Je unapenda waalikwa waje na zawadi au hupendi/itakuwa bila zawadi?..pls fanya hima ili niweke kwa ratiba kabla haijawa too late. Pia itakuwa ni nafasi muafaka ya kumuona Boflo live......
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa birthday ingawa binafsi kusherehekea birthday nahisi ni sawa na kufurahia kupungua kwa siku zangu za kuishi.
 
......
 

Attachments

  • image.jpg
    92.1 KB · Views: 59
mbona huwaga hamseme miaka yenu jamani?haya hayo makulaji wapi?mbona hujasema nikuchangie vijesent vya kujihami au yako ya kimya Boflo mtata?
 
Last edited by a moderator:
happy birthday Boflo
 
Last edited by a moderator:

heri ya kuzaliwa Boflo
 
Last edited by a moderator:
Boflo,kwa hiyo iyo avatar yako ndio ulikuwa umejipodoa kwa ajili ya birthday?haaa haaa haaa!mtakaoenda mtuletee feedback jinsi Boflo alivyopendeza!

HAPPY BIRTHDAY BOFLO!

halafu keki ya nini wakati boflo lenyewe lajitosheleza?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…