EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
- #161
MabogaAtavuna nini!?
MabogaAtavuna nini!?
MchichaNimepanda nini?
Hakika...nam shauri afanye Toba...Hii ni kufuru tupu
Barikiwa sana dada 😍😍😍Majina yote mazuri ni yake ELOHIM,ADONAI,EL SHADAI,YEHOVA NIS, YEHOVA RAFA bila pumzi yake sitoboi
Tafuta Mungu mwingine mkuu
[/QUOTEGive me reson why mkuuTafuta Mungu mwingine mkuu
Ukute ni kachokoraa na buguruni malapaTufunze vizazi vyetu kumjua Sana Mungu na kuenenda kwa mapenzi yake!Mtu anayekosa hofu ya Mungu Kama huyu ni zao la malezi mabovu yaliyokosa muongozo wa masuala ya kiroho, mtu wa namna hii ni tishio kwa jamii inayomzunguka,anaweza zua taharuki muda wowote
Tunaweza kukuita Asexual lakini bado ngoja nitulie nitakuja kukuweka kundi lako mpo wengi tu Duniani,hahaha so nipo nyetoni kwa sababu sina pesa ?
la hasha, nipo nyetoni kuokoa hizi dimes chache zilizobaki, nipo nyetoni kukwepa Gono, UTI, Kaswende na REA Phase-3
haina maana niko 40 huku nabugia mbaazi
Mungu yoyote tu, huamini uwepo wake?Mungu yupi sasa huyo!!?
Yaani!Ukute ni kachokoraa na buguruni malapa
View attachment 2592652
Nikikumbuka chupu chupu za kimaisha nabaki kukumbuka hiyo zaburi ya 118:17
Mkuu achana na huyu chiziMungu yoyote tu, huamini uwepo wake?
hmmm, hapana, hisia za kimapenzi ninazo, tena nyingi na navutiwa vizuri tu na team pinzani, ni vile namalizia kwa kuwapigia nyeto , nikiwa na picha zao kazi imeishaAsexual
Daah umenifanya niwaze Sana Mariposa!kwanini hakuna Kaswende kwani hamgusani?Tunaweza kukuita Asexual lakini bado ngoja nitulie nitakuja kukuweka kundi lako mpo wengi tu Duniani,
Btw, sikuhukumu kila mtu na chaguzi zake hata mimi huku nilipo sina stress za Gono, Kaswende, HIV, wala Mimba zisizotarajiwa [emoji2960]
Pumbaaaaavuhahaha so nipo nyetoni kwa sababu sina pesa ?
la hasha, nipo nyetoni kuokoa hizi dimes chache zilizobaki, nipo nyetoni kukwepa Gono, UTI, Kaswende na REA Phase-3
haina maana niko 40 huku nabugia mbaazi
kwaniniiiiiiPumbaaaaavu
Utavuna mchichaMchicha
Acha makasiriko tembelea nyumba ya ibada utapona majeraha yakoWacha woga. Amekufuru nini? Kama baba ako hakusaidii usiseme?
Zaburi: 121Nimeanza kupewa suspension kuanzia shule ya msingi mpaka chuon kwa makosa ambayo sjashiriki...kama sio Sir God ningekua nshakata tamaa .lkn mpaka sasa nadunda naendelea na mapambano .I will only surrender where I die
Nikinusulika na ajali mbaya ikiyoua watu 17, Aliyeniokoa ni mtu amabae simjui sikuwahi kimuona na sinawahi kimuona baada ya siku Ile. Mungu ni mwema