Toa ushuhuda wowote ambao unadhani bila Mungu usingetoboa

Toa ushuhuda wowote ambao unadhani bila Mungu usingetoboa

Logical thinking mtaiweza wapi nyie kina zamwamwa na IQ robo walishindwa kina Aristotle na Da Vinci wenye IQ zao kamili wakakubali uwepo wake
We jibu kwanza swali

Mungu yupi huyo!?

Halafu ndo tutakuja Kwa hao akina Aristotle na Da Vinci
 
Nimeanza kupewa suspension kuanzia shule ya msingi mpaka chuon kwa makosa ambayo sjashiriki...kama sio Sir God ningekua nshakata tamaa .lkn mpaka sasa nadunda naendelea na mapambano .I will only surrender where I die
Mungu yupi huyo!?
 
Mungu hakuna alilowahi kunisaidia, kikubwa anakula pesa zangu kila siku,

Mimi ndo namsaidia maana nampa pesa.

Nilikuwa na shida akanitupa halafu saivi eti nimtolee, kweli?

Kila nilichonacho nimekipata kwa jasho langu.

Kwanza hayupo na kama yupo hana nguvu yoyote, kiufupi mimi namzidi uwezo.
Futa kauli mkuu utavuna ulichopanda
 
A

Ahajaaaaa

Naona umerusha taulo ulingoni

Basi sawa

🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mimi si mlumbanaji wa Mungu yupo ni Bora kuliko mwingine,never na usije ukadhani unaweza kuweka ligi na Mimi eti niseme Yehova ni Bora kuliko Allah,au Allah ni Bora kuliko Krishna,au Krishna ni Bora kuliko Buddha.....siko mlengo huo naamini katika JEHOVAH na simkatazi mtu kuamini anachoamini as long as anaamini ni Mungu na anajifunza yaliyo mema.
 
mimi ndo napenda watu kama nyie,mliojichagulia njia yenu kwa hiari kabisa,safi sana mkuu,kaza sana kwenye njia yako,,,asikubugudhi mtu..na sisi tunashika sana tulichonacho...

Ufu 3:11-12​

Ufu 3:11-12 SUV​

Naja upesi. Shika sana ulicho nacho, asije mtu akaitwaa taji yako. Yeye ashindaye, nitamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu, wala hatatoka humo tena kabisa, nami nitaandika juu yake jina la Mungu wangu, na jina la mji wa Mungu wangu, huo Yerusalemu mpya, ushukao kutoka mbinguni kwa Mungu wangu, na jina langu mwenyewe, lile jipya.
 
Mimi si mlumbanaji wa Mungu yupo ni Bora kuliko mwingine,never na usije ukadhani unaweza kuweka ligi na Mimi eti niseme Yehova ni Bora kuliko Allah,au Allah ni Bora kuliko Krishna,au Krishna ni Bora kuliko Buddha.....siko mlengo huo naamini katika JEHOVAH na simkatazi mtu kuamini anachoamini as long as anaamini ni Mungu na anajifunza yaliyo mema.
Sawa Jehovan follower

I respect your choice
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom