Toa ushuhuda wowote ambao unadhani bila Mungu usingetoboa

Toa ushuhuda wowote ambao unadhani bila Mungu usingetoboa

Mungu hakuna alilowahi kunisaidia, kikubwa anakula pesa zangu kila siku,

Mimi ndo namsaidia maana nampa pesa.

Nilikuwa na shida akanitupa halafu saivi eti nimtolee, kweli?

Kila nilichonacho nimekipata kwa jasho langu.

Kwanza hayupo na kama yupo hana nguvu yoyote, kiufupi mimi namzidi uwezo.
Hivi huu ujasiri mnautoaga wapi?mtu Kama wewe hata kutoa mtu pumzi ni jambo Dogo Sana!
 
✔️

Kwahiyo Mungu unayemzungumzia hapa ni WA kwenye Biblia!?

Pole sana Kwa kuchagua kisicho faa
Mkuu punguza na acha dharau,haya mambo tuliletewa,unaweza kuaminishwa kuwa uko sahihi kumbe uko wrong kabisa;

Ndugu zetu hapo huwa mnakosea sana,mnakua busy kukosoa watu wa kitabu,wakati wao hawawakosoi ninyi,mle ndani ya kile kitu kilichoshushwa kuna walakini mwingi sana,ila huwa mnaachwa tu;
badilika,kujitambua ni kuona wengine wako kama wewe,ni kosa kubwa kudhani uko sahihi kwenye imani;
 
Mkuu punguza na acha dharau,haya mambo tuliletewa,unaweza kuaminishwa kuwa uko sahihi kumbe uko wrong kabisa;

Ndugu zetu hapo huwa mnakosea sana,mnakua busy kukosoa watu wa kitabu,wakati wao hawawakosoi ninyi,mle ndani ya kile kitu kilochoshushwa kuna walakini mwingi sana,ila huwa mnaachwa tu;
badilika,kujitambua ni kuona wengine wako kama wewe,ni kosa kubwa kudhani uko sahihi kwenye imani;
Niue ukitaka

Hakuna chagua bovu la Mungu kama la Mungu huyo wa Biblia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom