To revive 'intimancy' in your marriage

To revive 'intimancy' in your marriage

Hongera Mama Brian!!
Na kama hutajali, hebu sema ndoa yenu ina umri gani na je all along mambo ni superrrr?
Kuna kitu kinaitwa "7 year itch"...... how have you dealt with it?
Yaweza kuwa na miezi 10 akadhani inakua hivyo siku zote...
 
mbu hebu nigaie maelezo ya kwanini uwe offended mkeo akikupa pesa (once in a while)

...dah, tatizo I can't even imagine bana. Mambo mengine yanatokana na malezi tulolelewa wengine. Pamoja na wazazi wote walikuwa na ajira zao nzuri tu. Pesa ya mzee ndio iliyotufanyia kila kitu. No wonder hata nilipotaka pesa ndogo ndogo niliambiwa "kamwambie daddy wako akupe, mimi sina hela!" Same thing ina apply kwa mama watoto, ...ana kazi yake nzuri tu lakini watoto hunijia na huo wimbo "Mum kasema yeye hana hela, utupe wewe."

Ule msemo changu chetu, chake chake nakubaliana nao 100%. Nyumba yangu ni yetu, gari aliyonunua na nyumba aliyojenga anasema ni yake! Therefore, mshahara na income zote za wife ni kwa ajili ya matumizi yake. Akiamua kusaidia poa, otherise jukumu ni langu 'kuziba viraka' vyote. Am I to blame? :focus:

jazia jazia maelezo hayo ndugu

...kuna mambo mlikua mnafanyiana pamoja na kuahidiana kipindi cha penzi changa, penzi mototmoto. Mfano, mawasiliano ya mara kwa mara, masikilizano bila kulaumiana, kusameheana, kuheshimiana na maelewano bila kuhitilafiana.

Kipindi cha penzi motomoto, kulikuwa na challenges...nawe kwakuwa roho ilitaka na kutamani ulibuni njia mbadala kukabiliana na changamoto hizo. Mfano, hukupenda kumkasirisha, na hata alipokasirika ulikua mwepesi kumbembeleza au hata kuomba msamaha. Likewise, hata yeye alipokuudhi hukutaka kumuonyesha umechukia kiviiile, na hata alipokuomba msamaha ulikua mepesi wa kusamehe. Kwakua mlikuwa na matumaini.

Kipindi cha mapenzi motomoto, uliamini physical contact ni non-verbal communication. Nanyi mliitumia ipasavyo, kutembea mkishikana mikono au viuno,...mabusu motomoto, au kulala pamoja.
Katika kipindi hiki cha 'majaribu', jiulize mangapi kati ya hayo hamfanyiani tena na mkeo/mumeo.
Hayo mambo ni priceless!

Mmeshaishi pamoja kipindi kirefu, ushajua hili na lile litamkera mkeo/mumeo, kwanini ufanye kusudi almuradi tu umuudhi au aseme?
Wengine huona raha kusikia malalamiko, hawakumbuki roho nayo inaingia madoa.
Roho ya mapenzi haina Bleach! ...roho ikishaingia kutu inabakia chuki, na chuki ni adui wa mapenzi.
Kuyaepuka yote hayo, unatakiwa ubunifu.
Muhimu, fikiria kabla ya kutenda. Acha kumbukumbu muhimu na nzuri mioyoni mwa wataothubutu kukupenda. kumbukumbu nzuri zinajenga mapenzi, upendo na uaminifu.

...dah, naona sasa nabwa bwaja blah blah kibao...!
 
mbu ningekupa pole lakini nafikiri kwa kuwa umelelewa katika mazingira yanayofanana unaweza ukaona pole yangu haina msingi,

ila kuna wanawake wengine hadi wanafikia kuchekwa kwa kuwa kila pesa aipatayo anafikiria kumnunulia mume kitu na ujenzi wa nyumba au ununuzi wa gari na vitu vyengine vinafanyika kwa pesa ya wote na si ya mume peke yake.

hichi kitengo cha ndoa kwa kweli hakina formula, kila mtu anakwenda nacho kwa mujibu wa mazingira husika tu...
 
...umeona eee? ...told you.
 
Hapo tuko pamoja. Ukiiga ya wenzio unaweza kuishia mortuary. Ila ni vizuri kupata yanayowatokea wenzio ili uone kama uko peke yako unayefaidi au kuungua kwa moto wa hapa duniani.
 
Mbona mnaniogopesha wajamane nina miaka 3 sasa.

Usiwe na hofu Mama B, inategemea safari yenu mmejipanga iwe ya muda gani. Unajua kuna watu wanakaa kwenye ndoa mguu ndani mwingine nje. Kama mlikuwa na mingine kama hiyo ya kutamaniana na kusimuliana ndoto (uchumba) si haba. Ila kama mnatoka Ubungo (Tanesco) kwenda posta naona ndo bado hamjafika hata Ubungo termina. Hata hivyo safari ni safari, inategemea umejiandaa vipi na siku njema huonekana asubuhi. Ila usisahau kusali, kwani shetani yuko mlangoni wakati wote na hapigi hodi!
 
Shukrani za dhati zikufikie Hommie; Hii mada imenipa mwanga tofauti kwani inazungumzia tatizo lilopo kila siku lakini kati mtazamo tofauti na tunavyojadili hapa siku zote. Dah tangu jana nalisoma hili li sredi sikutaka kuruka hata nukta!:smile:

Mbu na Dark City na wadau wengine nimewagongea kabatani ketu kuonyesha kuguswa na maelezo yenu na hasa Mbu kwa Darasa ulilotoa hapo juu! Kudos Guys!

Nadhani kuna kitu kinakwepwa hapa na hili nilizungumzie kwa upande wa nilivyoexpiriensi; Kulitokea kuhitilafiana na Mama Juniour na bahati mbaya mie niliruhusu hasira kunichukua na hatimaye nikabaki hivyo ; mtu mwenye hasira ! Mamajr yeye baada ya kuona nimewaka kwa hasira aliumia mno na katika kuumia alikata tamaa na kutoliongelea tatizo lilotukumba na hii ikapelekea muwasho baina yetu kushuka kwa kiwango kikubwa.Kumbuka hapa yeye anaumia ; Mimi nimejijaza mijihasira! :doh: Ilitugharimu sana na ni kwa bahati nzuri Mungu aliiingilia kati kila mtua akakumbuka wajibu wake a tukayasawazisha.
Somo kuu hapo ni kuwa ukitokea ugomvi unless uwe ni wa kuumizana na kuuana wanandoa jaribuni kutafuta muda maalum kuliongea na kulitafakari kwa kina lilotokea na kuona kuwa linasawazishwa paipo na shaka kwenu nyote. Then mwasho utakuwa imara tu kwa kuwa siri kubwa ya muwasho wenu ni kuthaminiana na kuaminiana!:bathbaby:
 
safiiiiiiiiii
aaah FREEEEEEEEEEEEEEEESHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!
 
Mkuu MJ, ni vizuri kushea issue zako na kusikia yanayowatokea wenzio. Ndio maana mimi huwa nasema kile kinachotokea wakati wowote ili nipate mawazo ya wadau wengine. Hapa umetenda jema kutujulisha kilichowatokea.

Kwa binadamu, huwezi kuzuia hasira ila unatakiwa kuitawala. Ukishindwa kutawala hasira zako unaweka mahusiano yenu katika hali ya hatari. Pia ni muhimu sana kuhakikisha hakuna communication break down hata kama tukio lilitokea limewakwaza na kumuudhi mmoja wenu au nyote. Mimi huwa siwezi kujiruhusu kukakaa na hasira hata 24 hrs. Ni hatari kwa afya na pia inaathiri utendaji kazi kwani unaweza kuhamishia hizo hasira kwa watu wasio na hatia. Kwa hiyo huwa najitahidi kusawazisha mambo haraka iwezekanavyo ili tuendelee na mambo mengine ukuwemo mkate wa kila siku. Hata hivyo kuna exception moja tu ambayo sijui naweza kuishughulikia vipi, ...nayo ni kumkamata mama watoto anagawa mali zisizoruhusiwa kushea. Hapo sidhani kama kuna suala la kuchukia bali ni kupitisha hukumu na kuanza upya.
 
Dark City kabla hujapeleka tswira kwa Mama watoto kukutwa anagawa; rudisha picha ya wewe kurudi na andawea imeloa jalaba; hujakamatwa na wala hujakutwa lakini umemaliza infidelity ya chapchap na bahati mbaya hukujiswafi vizuri na umerudi na ushahidi tosha home; hii inakuja kutokea baada ya vi sms kibao vya kazi za nje kufumwa na mama watoto. Sasa siku yeye umefuma anagawa unaanziaa wapi kutoa na kupitisha hukumu...........kama ni mkristo kwenye Biblia kuna kisa cha Mwanamke mmoja aliyekutwa akizini alikokotwa mpaka kwa Yesu na huko waliomkokota wakamwuliza Kristo wamtendee nini?! Ona mfumo dume hapa.............aliyeonekana kukosa ni yule Mwanamke peke yake.......sasa huko sitaki kuajdili kwani hata Biblia haikushughulikana nkao............kikubwa hapa ni kuwa ........unapoanza kuchukua dhamana ya kupitisha hukumu..........jihukumu wewe kwanza!
najua nitapiwa kelele hapa...........Lakini unatakiwa kusamehe! WITHOUT EXCEPTION! Thats true love! Wapo waliobahatika kufanya hivyo; Mungu kawabariki na naamini ndoa zao zimepona! Wako walioamua kupitisha hukumu tena nyingine za kutisha..............wengine wameishia kuchanganyikiwa ; wengine wamebaki wakioa na kuacha kila kukicha! Na wapo walio na ndoa za amani baada kupititia na kuachana katika mazingira hayo!
 
mbu ningekupa pole lakini nafikiri kwa kuwa umelelewa katika mazingira yanayofanana unaweza ukaona pole yangu haina msingi,

ila kuna wanawake wengine hadi wanafikia kuchekwa kwa kuwa kila pesa aipatayo anafikiria kumnunulia mume kitu na ujenzi wa nyumba au ununuzi wa gari na vitu vyengine vinafanyika kwa pesa ya wote na si ya mume peke yake.

hichi kitengo cha ndoa kwa kweli hakina formula, kila mtu anakwenda nacho kwa mujibu wa mazingira husika tu...

mke wa Mbu huwa namuelewa sana..."anajihami".kitendo ambacho hata mie nakifanya, kuna mambo mengine inabidi tu mtu ujiami...mie cpo kwenye ile ya "vyetu" kwa kila kitu, kuna vingine "vyake" vingine "vyangu" na baadhi "vyetu"
 
Kumbe bado kabisa:tape:

unataka kumwambia kama ni mtoto ndio kwanzaa anatambaa...lol una visa wewe, wacha kumuogopesha mama b...mkumbushe amweke mumewe kwenye sala zake kila kukicha...mana wengine tuliwaweka hawakuwekeka tulivyoacha wakajiweka...ndoa hizi segere tupu.
 
jinsi ya kurudisha penzi lililotweka kwa ndoa za binadamu sie....ila teamo kakataza kiswahili...:a s angry:
oh my lord, mie na kingeredha hatupatuelewani sana!

So ndo maana wengine wanazungumzia kununuliana zawadi au kupeana pesa?

Anyway just try to do yale ya kipindi mmeanza mapenzi
 
unataka kumwambia kama ni mtoto ndio kwanzaa anatambaa...lol una visa wewe, wacha kumuogopesha mama b...mkumbushe amweke mumewe kwenye sala zake kila kukicha...mana wengine tuliwaweka hawakuwekeka tulivyoacha wakajiweka...ndoa hizi segere tupu.

Mrs Nyamayao bila visa unadhani ndoa zitadumu? LOL...nadhani anamuweka na yeye pia anawekwa....kwani sasa hivi umeacha kusali? (halafu isije ikawa unadhania kajiweka kumbe kajiweka pengine kwako kaegesha kinamna? ohooo)
 
Back
Top Bottom