To revive 'intimancy' in your marriage......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

To revive 'intimancy' in your marriage.........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, Jul 27, 2010.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Habari zenu wakuu,wapwaaaz,mabinamuuz,infidelators na infidelees wooote!

  leo nipo ki-ndoa zaidi...!na nitaomba kingereza kichukue barabara yake.

  baada ya tafakari ya muda mrefu kidogo juu ya maoni mengi ya wadauz mbali mbali,niligundua kuwa kuna wakati ndoa 'zinazoeleka' kiasi cha wanandoa (aidha mmoja au wote) kushindwa kabisa au pengine KUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA!....kwamba inafikia mahali maisha ya mapenzi ya wanandoa yanageuka kuwa 'bland and unevenful'

  ukweli kabisa mi nashindwa kuelewa nini chanzo cha hili ninaloliita 'kuzoeleka',ingawa kuna vijisababu kama:

  1-a busy schedule
  2-too many disagreements
  3-(kaizer jaza hapa)
  4-(asprin jaza hapa)
  5-(gaijin jaza hapa)
  6-(carmel jaza hapa)
  7-(nyamayao jaza hapa)
  8-(mwanajamiione jaza hapa)
  9-(roya jaza hapa)
  10-(mbu jaza hapa)
  11-(WOS jaza hapa)
  12-(INVISIBLE jaza hapa)

  naomba tuvijadili hivi vijisababu na pia tupeane njia mbadala za kurevive INTIMACY kwenye maisha yetu ya ndoa jamani!huenda tukaondokana na mazingira kadhaa yanayopelekea 'infidelity' in excess...(ingawa it is there to live forever)..

  HOW TO REVIVE INTIMACY
  1-YOU CAN DO THIS BY PLANNING INTIMATE MOMENTS

  2-YOU CAN DO THIS BY REMEMBERING THE DAYS WHEN YOU BOTH COULDN'T TAKE YOUR HANDS OFF EACH OTHER AND BRING BACK THE ROMANTIC MOMENTS IN YOUR NIGHTS TOGETHER

  4-


  5-


  6-

  7-

  8-

  9-

  10-
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Teamo hili suala ni tata na tete vilevile! Lol

  wengine wanasema kunachangiwa na kuwa na vision au embitions tofauti na badala kupewa support kile unacho waza kudharauliwa......... Hii hupelekea mmoja kuona mawazo yake yanabezwa na kuchukia au huanza kufanya kila lake bila ya kumshirilisha mwenziwe.


  Epuka hili kwa kuonyesha unajali ambition ya mwenzio japo kwa kuboresha idea yake au kutaka feedback ya kinachoendelea
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nimeipenda hii...
  mimi mwenyewe:nina kawaida ya kumpeleka wifey fiatanga kunywa mtori kila jumapili baada ya ibada.ilitokea siku moja jumapili nilitakiwa kwenda ofisini na tena ni asubuhi sana....!unajua kwa kusitisha ratiba ya mtori wife alinichenjia wiki nzima niliiona ndoa chungu
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hehehe pole........wanawake wengi wanapenda kuona wazo lake umelipa priority! Mfano akijua wewe hupendi 'mtoti lakini unampeleka kwa kuwa yeye anapenda kunaongeza mapenzi.

  Au kama wife angependa kuuza maandazi na wewe unajua fika hiyo niashara haiwezi haina haja kumwambia kila Mara kuwa hatafanikiwa...... Ni bora kuboresha wazo lake au kumuacha afanye ashindwe bila ya kumwambia I told u so!
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nashukuru kwa mchango wako!
  nilichokielewa kwako ni kwamba 'wanaume tuwasikilize wake zetu na kuwapa fursa ya kufanya kile wanachokiamini KWA MASLAHI YA NDOA ZETU au sio?'
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mkubwa,

  Unataka kuandikakitabu? Ila si vibaya kusikia yale waliyokutana nayo wakubwa zako!!

  Wakati mwingine ni vigumu kusolve hili tatizo la kuzoeana au kutoelewana kiasi kwamba meza ya bwana inapewa likizo. Kuna mambo mengi yanajitokeza kwenye mahusiano yanayoweza kumkwaza mmoja wapo. Dalili za ndoa yenye uhai ni uwezo wa wahusika kumaliza tatizo lolote linalowakabili kwa muda mfupi iwezekanavyo. Binafsi huwa napata taabu kwenye kurejea mazungumzo na mdau wangu inapotokea mitandao yote ikazimwa. Nasikitika kuwa lazima mimi ndiye ninayelazimika kuiwasha tena minara ya mitandao vinginevyo inaweza kukatika week bila kuwa hewani au kupata taarifa ya habari! Na nimelizoea hilo kwa hiyo siyo shida tena.

  Ila kuhusu kupoteza hamu, nadhani ni suala la ki-biolojia zaidi na psycholojia pia. Mimi huwa natafuta nafasi tunabadili uwanja au mmoja anakwenda likizo fupi. Anaporudi inakuwa kama nyati aliyejeruhiwa. Maisha ni kitendawaili kwa hiyo atakayekitegua ni wewe. Hebu basi changanya na za kwako uone kama siku zitasogea!
   
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  3.It doesnt apply in my case....we are intimate and intimately together,......and u know what?

  -Infidelity is there to stay
  -U should not take 'marriage' for granted...it has to be nurtured,
  -Treat your spouse/partner as your 'friend' and not the husband/wife kind of a thing
  -know that small compliments and gifts mean a lot to your (especially) wife
  -be innovative in everything
  -Money/wealth is important but that should not distract your sex life
  -be careful with who you befriend...not every friend is a friend in the real sense.....some can eventually destroy ur marriage
  -you are married to ur wife/husband and not ur relatives........
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nimekuelewa sana mkuu wangu DC.....!
  maelezo yanajitosheleza na sijaona cha kuongeza hapo.

  hiyo trick ya kuchukua likizo fupi NIMEIPENDA SANA HIYO!
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ubarikiwe sana GREAT THINKER....!
  nimejifunza kitu kikubwa sana kwenye hii post...!
  ubarikiwe na bwana!
  long live KAIZER
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Zangu jana leo na kuelekea huko mbele hazichanganyiki na za mbayuwayu wala kikong'ota!!

  wapi chande wa AWZ, mwambie apeleke nne!! atanikuta hapa pentagon.

  :A S angry::bowl:
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Nabii TITO kashambariki mbona!! tehe tehe!!

  Sorry, let me for now!!:tape:
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,046
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Hommie........ We are on the same page of the same book of the same author!

  Lets wait and see and observe and hear the other side of the coin! :doh:
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha ha!
  twenda sawa kiongozi.....
  nipe maoni ako
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  say something dude!
  ha ha ha ha!
  ai miin hata kama you and kaizer are matching on a SINGLE PROFILE(kwa sisi tulioenda jeshini tunajua),still kutakuwa na some minor descripancies katika ile thiking state of mind....!

  SUBSTANTIATE
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  And we have been warned here:  where is Noname and bluray when we need them the most?:glasses-nerdy:
   
 16. RR

  RR JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Ndoa nyingi ni Business like relationships....ndoa zinachukuliwa kwa umakini mno...hadi inapitiliza...
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HA HA HA!
  kingredha zaidi....
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha!
  i never would have thought of this.....!
  thanks
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,046
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  I have lots of things running in my damn head!

  Today is my wife's birthday, see what? Thanks to my Nokia phone reminder alarm, my wife believes I value her in such a way that I never forget her birthday, her special day!!!- She has forgotten (you what i mean?) mabaya yote niliyomtendea. Hapo ndipo napoangukia sasa kama umenielewa.... TRUST EACH OTHER! Wives Must trust their husbands and vise versa!

  Hivi tunaongelea nini hapa?

  Happy birthday mama matesha! Wote semeni Amina Haleluya!
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  101) Propose a safari ( a week off maybe).......yeah!! spend money, that how you will get the intimacy back to line!..SPEND SOME FORTUNE!!! (judge if it is worth it!)
   
Loading...