Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Kaizer siye bado tunaishi kama paradiso ndogo, tunapendana sana na my husband tena sana.No need of revive nasemea kwa wengine ambao ndoa zimekuwa ndoano wabadilike wakumbuke enzi hizoo.
Mama B:
Nadhani hii post una-assume Mr wako anaweza akawa anapita "mitaa" hii na kwahiyo unamfagilia! Ila kwa uzoefu wangu wa karibia miaka 20 ya ndoa, hamuwezi kuendelea kuishi "kama vile mwanzo". Kadri muda unavyopita, kwa namna moja au nyingine maisha ya ndoa yana-tend kuwa "mazoea":
Cycle hiko hivi:
1. Amka asubuhi kwenda kazini (binafsi au employed) : at a time hata Habari ya Asubuhi inakuwa ngumu kutamka - Kama mna-share usafiri the next thing itakuwa ni muungurumo wa gari - and thereafter kutelemka kwenye gari : Neno kwaheri ni nadra - sana sana utasikia "baadaye"!
2. Kutoka kazini : Mlango utafunguliwa then utasikia "za saa hizi" - "safi" - ndani ya foleni kila mmoja na ya kwake - mtapitia mahitaji (probably) - "nipe shs 20,000 nikanunue xyz.." - wallet inatolewa na pesa hiyo, mlano wa gari unafunguliwa then unfungwa then... after a while mnarudi barabarani...
3. Mkifika nyumbani: Mr yupo sebuleni ana-zuga na TV na Mrs yupo jikoni "anapiga kelele" na HG na watoto!
4. Kama hali inaruhusu : Mr hutamsikia anasema "wewe mimi natoka kidogo"! Kurudi before 22hrs ni nadra na akirudi atakuwa in "a different state"
5. Mrs atakuwa ameshalala kitambo na Mr atachungulia kwenye "hot pot" kama menu inaeleweka - otherwise ataenda bafuni na eventually kupanda kitanda "mgongo kwa mgongo"!
6. Kumi na moja asubuhi the next morning: go to number 1 above!
Hii inaweza kuendelea for years and years!