To revive 'intimancy' in your marriage

To revive 'intimancy' in your marriage

Asprin ...................hiyo ina apply kila upande. Mwanamke pia anatakiwa am suprise mume kwa kumpa pesa akatumie na washkaji (sijui psychological wanaume watalichukulia vipi hili suala), ila wanawake wanapopewa mshiko na waume zao japo hawauhitaji psychological inakuwa ineleta furaha kubwa.

kaizer furaha ya mke ndio furaha ya familia usijali hamna kidumu wala nini

hee..lazima kujali (halafu nilikutumia PM mbona hujanibu bana)
 
i am trying to imagine 'waif' ananipa hela ya bia............:ranger::ranger::ranger::ranger:
 
Na kwa upende wa pili? Yaani kwanini wewe usimsuprise mmeo kwa kumkatia pochi akamimine ulabu na mabesti zake?

Wapo wanawake wengi tu wanafanya hiyo kitu. Kuna ndoa siku hizi ni "SHE DRIVEN". Kwa hiyo mwanamke anahaha sana kuilinda ndoa. Hata jamaa akijirusha nje, mama anaishia kumpa pole nakumtayarishia maji ya kuoga kwa kujiliwaza kwamba walau amerudi home. Kesho yake anapigwa surprise ya nguvu kama bonge la chaini (kama dola 200-300 hivi)!

Hata hivyo hivyo vitu kuna mazingira mengine havifanyi kazi kabisa. Binafsi nafagilia mtu kuhangaikia hali halisi ya ndoa yake badala ya kuiga wengine. Kwenye ndoa hakuna cut and paste. Na hizo surprise za kuiga wakati mwingine zinakera. Unaweza kukuta surprise zako, tena nyingine za gharama sana zimetupwa uvunguni au dust bin! Bora kudeal na kile mtu anapenda. Mimi nilishaacha hizo surprise. Kama kitu anataka basi tunakubaliana namnunulia au nampa pesa akanunue mwenyewe.
 
mkuu umeongea jambo sahihi kabisa i have seen lediiz SPENDING A LOTS kwa 'vijiboifrendi tu' kwamba asiachike!....i have seen jamaa anaomba hela kwa galfriend wake huku akimtishia 'USIPONIPA MI NAKUACHA'

OMG
 
Dark City ................hatushauriani ili mtu aige bila ya kutizama mazingira ya kwake yamekaaje, ila kugundua njia zilizoko mtaani na zile ambazo zimeweza kuzaa mafanikio kwa ndoa za wenzi wako kunaweza kukuonyesha mwanga wa wapi uelekee ili kuleta mafanikio katika ndoa yako ( hapa ndio inakuja kauli ya 'mix with yours')

binafsi ningependa kujua wenzangu wanatumia njia gani ili niweze kutumia njia hizo pale zangu mwenyewe zitakapogonga ukuta. .........kila elimu ina faida yake japo indirectly.
 
i am trying to imagine 'waif' ananipa hela ya bia............:ranger::ranger::ranger::ranger:
Manake ndo utapata sababu ya kuchelewa kurudi home:nono::nono:
 
Asprin, teamo, kaizer, DC .......... Inaonyesha hamtegemei kupewa pocket money na wife lkn jee mkipewa once in a while mtalichukuliaje suala Hilo?

( Mimi nikipata extramoney nyingi sana huwa namkatia chenji hubby ......imekaaje hii?!)
 
hiyo ni nzuri, mi sijakataa hilo la kupewa hela na mamsap actually inakuwaga sexy, issue ni kwamba unazitumiaje ndo hapo....
 
Na kwa sababu hii, mtu atamwacha baba yake na ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja. Suala la msingi sana katika ndoa ni kuambatana. Maana ya kuambatana ni kung'ang'aniana, kushikamana, kugandamana, bila kuachana. For this to work, marriage must be buit on a foundation of true love and not otherwise. Upendo hauhesabu mabaya, huvumilia, hamtendei mwenzake jambo baya.

Like any other relatioship, they will conflicts in a marriage. But where there is love there is always a way out of the conflict. Ndoa ikiwa na ubinafsi haiwezi kusimama wakati wa dhoruba
 
Asprin, teamo, kaizer, DC .......... Inaonyesha hamtegemei kupewa pocket money na wife lkn jee mkipewa once in a while mtalichukuliaje suala Hilo?

( Mimi nikipata extramoney nyingi sana huwa namkatia chenji hubby ......imekaaje hii?!)

Mi ntafurahi sana kwa kuwa ntakuwa nimepata sababu ya kuchelewa kurudi nyumbani!
 
jamani nyieee kaizer na asprin mnaenda off topic .........................

suala hilo nalifanyia kazi sasa 🙂
 
Asprin, teamo, kaizer, DC .......... Inaonyesha hamtegemei kupewa pocket money na wife lkn jee mkipewa once in a while mtalichukuliaje suala Hilo?

( Mimi nikipata extramoney nyingi sana huwa namkatia chenji hubby ......imekaaje hii?!)

hapo mie ni mpaka aniambie kama amepungukiwa/ishiwa...otherwic hiyo hela nitaenda hapo nakumat kumfanyia shopping.
 
mkuu umeongea jambo sahihi kabisa i have seen lediiz SPENDING A LOTS kwa 'vijiboifrendi tu' kwamba asiachike!....i have seen jamaa anaomba hela kwa galfriend wake huku akimtishia 'USIPONIPA MI NAKUACHA'OMG

hii imenifurahisha sana, sasa kwenye ndo utasemaje kama wife aamekunyima hela ya bia, itabidi uwe mpole, ndoa zetu siku hizi ni kuvumiliana kwa sana, make wake au waume wako busy kutafuta maisha, so ikifika ucku kila mtu taabani, haya maisha jamani, sometime mimi yananikera sana pale inapofikia niko mbali namke wangu--lakini anyway, hakuana shida. Bibie usijali sana kila kitu kitakuwa sawa, one day i will come home and never leave you again.
 
AKINIPA HELA YA BIA LEO,KESHO ASUBUHI TALAKA.....!:A S-smoking:

kweli mie cmpi hela ya pombe, labda anidanganye ameishiwa, otherwic cku hiyo atashinda na mie home tukisaidiana ballantin yangu....
 
jamani nyieee kaizer na asprin mnaenda off topic .........................

suala hilo nalifanyia kazi sasa 🙂

The Following User Says Thank You to Gaijin For This Useful Post:

Kaizer (Today)​
 
Back
Top Bottom