To revive 'intimancy' in your marriage

Hii thread imefikia mahala kama siielewi hivi!...natumia energy kubwa sana kuisoma

Teamo, inabidi uielewe tu kwa nguvu zote manake wewe ndo muanzishaji wa mada hii, tena itabidi ufuatilie mpaka uone mwisho wake, na watu wameipenda haswa naona hata haiishi, teh teh pole na hongera!
 
Mie bado katotoo...:tape:

hahahah hata mie sina la kusema hapa,:tape:
waache watu na ndoa/experience zao waseme hapa...
ila kama ndoa ziko hivyo kwa mujibu wa baba enock,
then tusio na ndoa we are not missing much,same pattern,same routine..i think life is a bit boring!
i wanna be a mistress to someone,
seems ukiwa nyumba ndogo,life is a bit interesting!!!LOL:bathbaby:
 
Teamo...

Umepata ushauri wa kutosha ku-rivaivisha intimacy yako?

Kama bado njooni kanisani niwaelekeza.... (Kila mmoja kwa wakati wake) plz
 
hehehehe!
ndo maana nilishaamua kupumzika kwenda ibadani
 
hahahah hata mie sina la kusema hapa,:tape:
waache watu na ndoa/experience zao waseme hapa...
ila kama ndoa ziko hivyo kwa mujibu wa baba enock,
then tusio na ndoa we are not missing much,same pattern,same routine..i think life is a bit boring!
i wanna be a mistress to someone,
seems ukiwa nyumba ndogo,life is a bit interesting!!
!LOL:bathbaby:

Sijui kwa nini nimesoma mara mbili mbili hapo nilipobold.....:tape:
 
Inaonesha wengi wetu tunashindwa kuelewa kuwa suala la ndoa ni utaratibu uliopangwa na Mwenyezi Mungu. Tujue kwamba mwili wa binadamu umetengenezwa katika mazingira ya kutamani na kuchoka. Mimi nachukulia suala la mapenzi kama chakula. Mtu kama umeshiba utahitaji chakula? Katika ndoa, mwanandoa mmoja anaposema amechoka, basi let him/her to rest, it will come a time when he/she will revive. Tatizo uvumilivu unakuwa haupoooo!!!
 
<br />hujaexprnc ndo mana unasema ivo unavumilia mpk inafka hatua unasarenda!
<br />
 
Back
Top Bottom