To revive 'intimancy' in your marriage

Asante sana Teamo kwa kutukumbusha, nadhani inawezekana kabisa kurevive na kuishi kama enzi za uchumba na marriage itaoneana kama paradise ndogo hapa duniani.
Cheer!
 
haki ya nani cjui mama matesha ndio mie, surprise za kutumia pesa nyingi hapana(hiyo hela c ungeenda kuwalipa wale vibarua shambani)...nimecheka mpaka kwikwi...nitajirekebishe saa japo niinjoi ka surprise jamani.
Well said my dada. Hebu angalia hii hapa chini:

The Following User Says Thank You to Nyamayao For This Useful Post:

Asprin (Today)​
 
Asante sana Teamo kwa kutukumbusha, nadhani inawezekana kabisa kurevive na kuishi kama enzi za uchumba na marriage itaoneana kama paradise ndogo hapa duniani.
Cheer!

kwani mama Brian, vipi state ya huko kwako ikoje.......inahitaji revival?
 
Kuna na hili la kupewa pesa ya kutumia isiyokuwa na ratiba maalum.....

Ikiwa unasuprise wife kwa kumpa pocket money nafikiri inasaidia mpenzi wako kuona unamjali. Hata Kama Ana mshahara mkubwa kiasi gani mpe pesa ya kununulia vitu vyako binafsi Mara moja moja uone atakavyo furahi
 
Tatizo akishafurahi atafanya nini na hiyo furaha? isije ikawa ndo tiketi pia ya kwenda kufurahisha kidumu?
 
Kuna na hili la kupewa pesa ya kutumia isiyokuwa na ratiba maalum.....

Ikiwa unasuprise wife kwa kumpa pocket money nafikiri inasaidia mpenzi wako kuona unamjali. Hata Kama Ana mshahara mkubwa kiasi gani mpe pesa ya kununulia vitu vyako binafsi Mara moja moja uone atakavyo furahi
Na kwa upende wa pili? Yaani kwanini wewe usimsuprise mmeo kwa kumkatia pochi akamimine ulabu na mabesti zake?
 
adui mkubwa wa intimacy ni kudhania mwenzao ana-infidelitize aisee!!!! Maana hiyo ikikaa kichwa basi performance inakua imekwisha kazi si kwa mwanaume au mwanamke

Mkuu hisia za kuibiwa sikikujia kichwani wakati wa dinner ni kitu kibaya na hatari sana. Ni afadhali unimwagie maji ya baridi toka kwenye -20 oC kuliko kunifanya niwazie kuwa kuna mtu anakinywea kikombe changu!

Mwanaume ndio anapaswa kuhisi mkewe ni infidelee, mwanamke anapaswa kutambua na kukubali kuwa mmewe ni infidelator!!

Have I made my self clear (Samahani kwa kutumia kiswahili hapo)

Kweli mkuu. Wanawake wanatakiwa kuukubali ukweli kuwa mara moja moja muzee anaweza kwenda kumtafutia msaidizi. Inamsaidia sana majukumu kwani badala ya 2 kutwa mara 3 (Asprini) anaweza kupata dozi ya 2 kwa week mara 2.

Asante sana Teamo kwa kutukumbusha, nadhani inawezekana kabisa kurevive na kuishi kama enzi za uchumba na marriage itaoneana kama paradise ndogo hapa duniani.
Cheer!

Mama Brian,
Uchumba utabaki kuwa uchumba. Hauwezi kurudi hata watu wakiamua kuishi kwa maigizo. Hata ukirudi, mimi nisingeutaka. Hauna uhalisia wowote. Ni muhimu kukubali kuwa huo muda ulishapita na sasa tushughulikie mambo halisi badala ya nadhaniria na njonzi za uchumba!
 
Asprin ...................hiyo ina apply kila upande. Mwanamke pia anatakiwa am suprise mume kwa kumpa pesa akatumie na washkaji (sijui psychological wanaume watalichukulia vipi hili suala), ila wanawake wanapopewa mshiko na waume zao japo hawauhitaji psychological inakuwa ineleta furaha kubwa.

kaizer furaha ya mke ndio furaha ya familia usijali hamna kidumu wala nini
 
Mama Brian,
Uchumba utabaki kuwa uchumba. Hauwezi kurudi hata watu wakiamua kuishi kwa maigizo. Hata ukirudi, mimi nisingeutaka. Hauna uhalisia wowote. Ni muhimu kukubali kuwa huo muda ulishapita na sasa tushughulikie mambo halisi badala ya nadhaniria na njonzi za uchumba!

Mkuu DC, kwa hapa nadhani inaongelewa dhana ya uchumba 'kurudiwa/kukumbushiwa' kwa maana ya kwamba wanadoa wengi wakishakuwa mke na mume wanasahau mambo mazuri waliyokuwa wanafanyiana kabla hawajaanzisha familia, mfano ndo hivo kupeana zawadi ndogo ndogo, kutoana out, mtani ya hapa na pale, nk

hii ni kwavile mara nyingi wakati wa uchumba kunakuwa hakujawa na majukumu ya watoto, kazi, ndugu etc ( the whole family and marriage institution) pamoja na expectation zake.

sasa njia mojawapo ya kupambana na boredom ya hayo majukumu ya kifamilia ni kukumbushia enzi za uchumba (japokuwa mi na mshiki bado ni 'wachumba')
 
Back
Top Bottom