To MMU ladies ....

hahahahaha no bali umeshindwa kuthibitisha kwa vitendo hekima ni nini

Wewe ulinitaka nikuoneshe quote yako moja ambayo umejibu kwa hekima na nimefanya hivyo

Hujaniambia nikuambie hekima ni nini

Hayo ni maswali mawili tofauti kabisa!
 
Seems like you've mastered the art of using your feminine wiles to get what you want!
 
Mtoa mada, lengo lako hasa nahisi si hilo unalowaaminisha wadau ila kwakuwa umesema unataka kujifunza kitu, ngoja na mimi nijifunze kitu toka kwako.
 
Wewe ulinitaka nikuoneshe quote yako moja ambayo umejibu kwa hekima na nimefanya hivyo

Hujaniambia nikuambie hekima ni nini

Hayo ni maswali mawili tofauti kabisa!

kifungu cha juu umefanya hivyo wapiiii
kifungu cha chini ungeniwekea linki ningepata jibu kwako hekima inaanzia wapi
 
Mtoa mada, lengo lako hasa nahisi si hilo unalowaaminisha wadau ila kwakuwa umesema unataka kujifunza kitu, ngoja na mimi nijifunze kitu toka kwako.

Hebu rudia kusoma ulichokiandika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…