Hivi unaweza kuamini kuwa hata uzi wa Bujibuji sijauona?
Nesinda mentor?
Hebu rudia kusoma ulichokiandika!
Ndivyo ambavy ungenijibu mrembo?
Nimevutiwa na namna unavyochangia mada!
Ni kutokana na vile unavyojitambulisha na najua wewe ni mwanamke ambae unajiamini kiasi kwamba huna haja ya kufake ID yako!
Hili ndilo swali ambalo ungenijibu kwenye PM mrembo?
Ni taarifa tu kama huogopi endelea kurusha keteSasa mume anakujaje kwenye maongezi yetu?
Hii hapa chini
Niweke link ya kitu ambacho hujauliza?