To MMU ladies ....

To MMU ladies ....

Hapana tatizo haliko kwangu na liko kwako

Wewe unajitambulisha kama mwanamke na unachangia michango kwa hekima
Mimi kama mwanaume ambae nahitaji kuoa nimeona wewe unafaa kuwa kama mke wangu

Sasa hapo tatizo ni langu bado?
Huu ni uongo uliotukuka haki a mama, michango yangu imekufanya udhani naweza kuwa mke
wakati wajua kabisa na ushaleta thread hapa kuwa hapa ni fake life?
 
Ok,majibu:

Unajua iko hivi,mimi nataka nikuoe kabisa hivyo kukutajia hapa si vizuri kwani unaweza kudhani nakutania,jitahidi tuonane ili ukajionee mwenyewe kabisa

Unaonaje?

tongozo accepted. ok, bye
 
Huu ni uongo uliotukuka haki a mama, michango yangu imekufanya udhani naweza kuwa mke
wakati wajua kabisa na ushaleta thread hapa kuwa hapa ni fake life?

Ndio nilileta lakini sio wote ni fake,labda unipe ushahidi wa kuthibitisha hilo

Na miongoni mwa ninaojua sio fake ni wewe na hii ya kujidai mwanaume naona ni nanmna ya kutaka kuninyima ninachotaka kwako tu

Hebu acha fujo bana!
 
Sawa,
Lakini inamaana hutaniuliza swali kabisa?

Maswali huwa yanaleta ma swali zaidi .
Kama nina taka kuongea nawe na nina muda
Then Nita kuuliza swali . More likely utani jibu
Na kuunikiza swali lingine au mi nitakuuliza
Kutokana na jibu ulilotoa.
 
Maswali huwa yanaleta ma swali zaidi .
Kama nina taka kuongea nawe na nina muda
Then Nita kuuliza swali . More likely utani jibu
Na kuunikiza swali lingine au mi nitakuuliza
Kutokana na jibu ulilotoa.

Hiyo si ndio njia ya kujua kama mtu anakijua anachokisema ama laa?

Maswali yana umuhimu wake na hapo ndipo nataka nijue ni aina gani la swali utaniuliza!
 
Ndio nilileta lakini sio wote ni fake,labda unipe ushahidi wa kuthibitisha hilo

Na miongoni mwa ninaojua sio fake ni wewe na hii ya kujidai mwanaume naona ni nanmna ya kutaka kuninyima ninachotaka kwako tu

Hebu acha fujo bana!
Ningekuwa sio fake ningeandika jina langu halisi mirembe....
 
Back
Top Bottom