To MMU ladies ....

Kwanza ntashtuka hunijui sikujui. Ntakuuliza" unapata wapi ujasiri wa kuniaproach bila kunijua.Ukishajibu ilo swali jingine litategemeana na majibu yako.
 
Nakunyamaziaa kimya nkishaona mitongozo tu nakupotezea kwa vile najia moja tu jf ila kama waja na mastory ya kawaida tutachat hadi asubuh.....

Assume tu kuwa umekuwa interested na mtongozo wangu

Utaniuliza nini cha kwanza!
 
habari ya asubuhi
 
Kwanza ntashtuka hunijui sikujui. Ntakuuliza" unapata wapi ujasiri wa kuniaproach bila kunijua.Ukishajibu ilo swali jingine litategemeana na majibu yako.

Majibu yangu haya hapa:

Kwanini unadhani kujuana ni muhimu kwenye mahusiano?
 
Hauwezi kunivutia ntakuona kicheche na muongo unitongoze hata sikujui mhhhhh

Kukuvutia wewe ni suala lingine na wewe kunivutia ni suala lingine

Kwenye hili wewe ndio umenivutia so ndio maana nakutongoza

So?
 
Namsaidia kujibu lete mahari nyumbani kwetu ndio kieleweke...hiyo nataka nkiuoe ndo uongo wenu huo lol

Huko nitakuja lakini ni vyema tukaanzisha urafiki kwanza

Unaonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…