MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,732
- 2,714
SAWA BHANA TUMEKUELEWA ILA SI KWA TAASIS ZILIZOKO CHINI YA JIWE HILO HALIWEZEKANI KAMWE THIS IS THE TRUTH IN JUWE'S VOiCE
FATUMA KARUMARais wa TLS ni nani?
Usilinganishe rais wa TLS na Rais wa Jamhuri ya muungano wa TanzaniaLiko wazi kwa nani? Raisi Magufuli akiwa Raisi matamko yake 24/7 ni ya Raisi Na official iwe account yake binafsi ya Twitter , Instagram , Facebook nk Tamko hili la TLs ni feki .Raisi hawezi kuwa na matamko binafsi popote iwe Raisi wa TLS au Magufuli nitakutukana matusi ya nguoni wewe bwege.shenzi type.Raisi wa TLS hawezi kuwa na matamko binafsi to hell with her and TLS
Kutakuwa hakuna maana ya kuwa mtu unayejisimamia kiakili yako.Ndiyo maana huko fisiemu wote mnaunga juhudi ambazo kiuhalisia hazipo.Kiongozi anatakiwa aakisi mawazo na malengo ya taasisi anayoiogoza.
Kitendo cha TLS kumkana Rais wao,kimemfanya Rais awe Irrelevant
PUMBA!Hili lijimama halina tofauti na wa saluni, unapokuwa unaongea hata binafsi unahitaji kujua wewe tayari ni nani katika ulimwengu ili ujitahidi kuchuja sana maneno yako. Niliona mnamwandama sana rais JPM alipoongea kuhusu uzazi wa mpango alafu leo mnajifanya kutokuona hilo tatizo kwa huyu kibibi
Ukishakuwa kiongozi unahitaji mda mwingi kureserve maoni yako hasa yale ambayo yataleta contradictions juu ya taasisi yako na ndo maana walio wengi huwa wanaishia kusema "no comments, tutaona kwenye vikao n.k" hii maana yake ni kutoruhusu mambo ya hovyo kama haya.
Tatizo ni lile lile, weredi kwetu ni shida sana na wanawake kawaida hawanaga vifua yanapokuja mambo makubwa ya hivi. Ni sawa na wakati ule mkwe wa JK akiwa waziri wa fedha yule mama alisema mbele ya watu eti alidanganywa, kilichompata ni kupigwa chini ....wanawake siku zote ni hopeless kabisa kupewa titles kubwa vile.
Nani hao? Wauaji wa Jamal Kashoggi?Nchi za kiislamu zimeshamuweka Black List haruhusiwi kukanyaga hizo nchi viongozi wa TLS toeni tamko official la extra ordinary meeting kabla uongozi wote wa TLS haujawekwa Black List kukanyaga nchi za Kiislamu.Sio swala dogo toeni tamko la vikao official la vikao vilivyokaa.Huyu Fatuma hajielewi uraisi TLS una maana gani kimataifa anadhani ni sawa Na kuwa mwenyekiti wa Chama cha madereva Na makondakta wa daladala ambako Kila mmiliki Ruksa kutoa maoni ya daladala yake
kwani chadema kuna mtu anathubutu kumpinga Mbowe?Kutakuwa hakuna maana ya kuwa mtu unayejisimamia kiakili yako.Ndiyo maana huko fisiemu wote mnaunga juhudi ambazo kiuhalisia hazipo.