Unapokuwa unaongea hata binafsi unahitaji kujua wewe tayari ni nani katika ulimwengu ili ujitahidi kuchuja sana maneno yako. Niliona mnamwandama sana rais JPM alipoongea kuhusu uzazi wa mpango alafu leo mnajifanya kutokuona hilo tatizo kwa huyu kibibi
Ukishakuwa kiongozi unahitaji mda mwingi kureserve maoni yako hasa yale ambayo yataleta contradictions juu ya taasisi yako na ndo maana walio wengi huwa wanaishia kusema "no comments, tutaona kwenye vikao n.k" hii maana yake ni kutoruhusu mambo ya hovyo kama haya.
Sasa rais wa chama amejiweka wazi anaunga mkono na kutetea ushoga na usagaji huku akijua sheria za nchi zinapinga mambo hayo.
Ili kujisafisha na kuendelea kuheshimika mbele ya jamii TLS wakae na kumvua madaraka huyu mama.
Kinyume na hivyo hamna atakayeamini tena hilo lichama lao.