TISS na CCM Party Comrades tumieni kesi ya Mbeya kuokoa Umoja wetu, na Muungano wetu, kuilinda CCM. FUTA IGA

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,061
Asalam,
Nimefuatilia mijadala ya huu mkataba wa kuuza Bandari. Mengi yamesemwa. Sitaki kuyarudia, Natoa ushauri tu sasa ili kulinda umoja wetu kama watanzania, muungano wetu na uimara wa CCM.
1. Vyombo na mifumo ya dola iwasaidie Majaji Mbeya KUFUTA HUU MKATABA bila kujali changamoto za dini zao, udhaifu wa utetezi hapa na pale, etc.
2. CCM itokee hapo sasa kurekebisha mambo na kurudisha mpira kapuni kwa kauli nzito majukwaaani kuwa TUNAHESHIMU MAAMUZI YA KIMAHAKAMA.

3. Suala la Bandari liachwe kwa muda lipoe hadi baada ya Uchaguzi 2025. Hapa ni kukipa chama tawala kupumua
4. Viongozi wa Dini na wale waheshimika ndani ya nchi watoke kupongeza haya maamuzi. Ili kujenga utulivu

5. Ilani ya Uchaguzi sasa irudi kujikita kwenye mipango na mwelekeo wa 2050. Yako mengi. Taifa liachane na udalali

6. CCM ianze kuheshimu na kuwatumia wataalamu nje ya mfumo kama TLS kupitia mikataba.
7. Tuvipe sasa uhuru vyombo kufanya kazi, mfano TPA, PPRA, TAKUKURU ETC wasogee kwenye usimamizi wa mambo mazito.

7. Tuendelee na miradi ya kipaumbele na kubotesha mahusiano na marafiki zetu wachina, warusi, Cuba, etc.

Kwa uchache. Lkn yako mengi ya kushauri mifumo. Tusigombane na wanaotukosoa.
 
Mahakama wataitupilia mbali ile kesi. Utamaduni wetu ni kulinda heshima ya rais awapo madarakani.

Kama IGA itafanyiwa maboresho basi watafanya sio kwa shinikizo la wazi la mahakama au bunge. Ni ni kwa shinikizo/ ushauri wa chini chini wenye heshima na taadhima.
 
Sawa, lkn kwenye Democracia ya Ujamaa wa Kisasa tunahitaji kuona kuwa tuna Taasisi Imara. Na ni katika mambo kama haya.
 
Asalam,
Nimefuatilia mijadala ya huu mkataba wa kuuza Bandari. Mengi yamesemwa. Sitaki kuyarudia, Natoa ushauri tu sasa ili kulinda umoja wetu kama watanzania, muungano wetu na uimara wa CCM.
1. Vyombo na mifumo ya dola iwasaidie Majaji Mbeya KUFUTA HUU MKATABA bila kujali changamoto za dini zao, udhaifu wa utetezi hapa na pale, etc.
2. CCM itokee hapo sasa kurekebisha mambo na kurudisha mpira kapuni kwa kauli nzito majukwaaani kuwa TUNAHESHIMU MAAMUZI YA KIMAHAKAMA.

3. Suala la Bandari liachwe kwa muda lipoe hadi baada ya Uchaguzi 2025. Hapa ni kukipa chama tawala kupumua
4. Viongozi wa Dini na wale waheshimika ndani ya nchi watoke kupongeza haya maamuzi. Ili kujenga utulivu

5. Ilani ya Uchaguzi sasa irudi kujikita kwenye mipango na mwelekeo wa 2050. Yako mengi. Taifa liachane na udalali

6. CCM ianze kuheshimu na kuwatumia wataalamu nje ya mfumo kama TLS kupitia mikataba.
7. Tuvipe sasa uhuru vyombo kufanya kazi, mfano TPA, PPRA, TAKUKURU ETC wasogee kwenye usimamizi wa mambo mazito.

7. Tuendelee na miradi ya kipaumbele na kubotesha mahusiano na marafiki zetu wachina, warusi, Cuba, etc.

Kwa uchache. Lkn yako mengi ya kushauri mifumo. Tusigombane na wanaotukosoa.
TISS, military intelligence, zote zimelala usingizi wa pono,kote huko mijitu inawaza ki ccm ccm tu, bado inaamini chama chenye hatimiriki ya nchi ni ccm,
Kule kuna mabogas, yanayojua kupiga deals tu za mashamba, apartments, wizi, nk
 
Shida ya ccm hawana aibu wala kujuta kwa mabaya waliyoifanyia hii nchi

Imagine kesi za mikataba kila kukicha wanashindwa na fidia inalipwa bado wanarudia ubovu ule ule tena safari hii ni ujinga mwingi

ccm ni sikio la kufa wao kukosea sio kujifunza!
 
Asalam,
Nimefuatilia mijadala ya huu mkataba wa kuuza Bandari. Mengi yamesemwa. Sitaki kuyarudia, Natoa ushauri tu sasa ili kulinda umoja wetu kama watanzania, muungano wetu na uimara wa CCM.
1. Vyombo na mifumo ya dola iwasaidie Majaji Mbeya KUFUTA HUU MKATABA bila kujali changamoto za dini zao, udhaifu wa utetezi hapa na pale, etc.
2. CCM itokee hapo sasa kurekebisha mambo na kurudisha mpira kapuni kwa kauli nzito majukwaaani kuwa TUNAHESHIMU MAAMUZI YA KIMAHAKAMA.

3. Suala la Bandari liachwe kwa muda lipoe hadi baada ya Uchaguzi 2025. Hapa ni kukipa chama tawala kupumua
4. Viongozi wa Dini na wale waheshimika ndani ya nchi watoke kupongeza haya maamuzi. Ili kujenga utulivu

5. Ilani ya Uchaguzi sasa irudi kujikita kwenye mipango na mwelekeo wa 2050. Yako mengi. Taifa liachane na udalali

6. CCM ianze kuheshimu na kuwatumia wataalamu nje ya mfumo kama TLS kupitia mikataba.
7. Tuvipe sasa uhuru vyombo kufanya kazi, mfano TPA, PPRA, TAKUKURU ETC wasogee kwenye usimamizi wa mambo mazito.

7. Tuendelee na miradi ya kipaumbele na kubotesha mahusiano na marafiki zetu wachina, warusi, Cuba, etc.

Kwa uchache. Lkn yako mengi ya kushauri mifumo. Tusigombane na wanaotukosoa.
Neno TOO LATE huwa linaheshimika kwa wenye hesabu zao....
 
Kwa uchache. Lkn yako mengi ya kushauri mifumo. Tusigombane na
Makomredi wenzio huwa wanaona fahari kubishana tu na wakinzani wao kwa kiburi tu hata kama ukweli umewaacha uchi.Ego!Waendelee kukaza shingo hivyohivyo tusikie sauti ya mvunjiko.
wanaotukosoa
 
Asalam,
Nimefuatilia mijadala ya huu mkataba wa kuuza Bandari. Mengi yamesemwa. Sitaki kuyarudia, Natoa ushauri tu sasa ili kulinda umoja wetu kama watanzania, muungano wetu na uimara wa CCM.
1. Vyombo na mifumo ya dola iwasaidie Majaji Mbeya KUFUTA HUU MKATABA bila kujali changamoto za dini zao, udhaifu wa utetezi hapa na pale, etc.
2. CCM itokee hapo sasa kurekebisha mambo na kurudisha mpira kapuni kwa kauli nzito majukwaaani kuwa TUNAHESHIMU MAAMUZI YA KIMAHAKAMA.

3. Suala la Bandari liachwe kwa muda lipoe hadi baada ya Uchaguzi 2025. Hapa ni kukipa chama tawala kupumua
4. Viongozi wa Dini na wale waheshimika ndani ya nchi watoke kupongeza haya maamuzi. Ili kujenga utulivu

5. Ilani ya Uchaguzi sasa irudi kujikita kwenye mipango na mwelekeo wa 2050. Yako mengi. Taifa liachane na udalali

6. CCM ianze kuheshimu na kuwatumia wataalamu nje ya mfumo kama TLS kupitia mikataba.
7. Tuvipe sasa uhuru vyombo kufanya kazi, mfano TPA, PPRA, TAKUKURU ETC wasogee kwenye usimamizi wa mambo mazito.

7. Tuendelee na miradi ya kipaumbele na kubotesha mahusiano na marafiki zetu wachina, warusi, Cuba, etc.

Kwa uchache. Lkn yako mengi ya kushauri mifumo. Tusigombane na wanaotukosoa.
Hiyo hawawezi kufanya maana kufanya hivyo itakuwa ni kumvua nguo Chongolo ambaye anazurula nchi nzima akibwabwaja kuwa mkataba ni mzuri kuliko mikataba yote iliyowahi kusainiwa tangu kuasisiwa kwa Taifa.

Shetani ataendelea kuwatia kiburi ili anguko lao liwe la aibu kubwa.
 
Back
Top Bottom