ndio, ila haijajulikana anaelkea wapi, kuimarisha Empire yake au Nguvu ya Dau nono imefanya kazi, achana na tetesi
Mmempa shilingi ngapi?
Nikiwa iringa 2012 hivi,nilipenda kusikiliza ebony machweo kuna mdada huyo anatangaza kama yupo DWKama times fm Ni chuo kikuu Basi Kuna redio ipo nyanda za juu kusini itakuwa Ni college EBONY FM
alikuiwa mkali sana..?Nikiwa iringa 2012 hivi,nilipenda kusikiliza ebony machweo kuna mdada huyo anatangaza kama yupo DW
Sent using Jamii Forums mobile app