"Times FM" Nyumba ya Mapito

Wewe jamaa mada zako nyingi zimejikita zaidi kwenye kusikiliza redio hiv muda wakutafuta kipato unapata wapi?

Na wewe huo muda wa kumfatilia huyo mtoa mada hadi kujua aina ya mada zake unaupata wapi? Huwa unatafuta saa ngapi kipato?

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
HR ya Times FM inapaswa ijipange mfanyakazi akitaka kuvunja mkataba na akisema issue ni dau nono alilopata kwa ofisi mpya at least na wao wapande dau.

Ila hichi kinachoendelea ni faida kwa watangazaji at least umuhimu wao unaonekana.
 
kabisa, pia ina athiri wafanyakazi wengine, morali ya kazi inashuka na wanageuka ma job hunter kisa maslah
 
Back
Top Bottom