William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Una uhakika mheshimiwa au tukubandikie majabizano yake na wakubwa zake hapa? The fuss is that Tido still needed the job and performed exceptionally and professionally well. It is simply ludicrous to compare his departure with Oprah's as their contexts of departure are completely different!!
Hivi hatuwezi kujadili mada hadi tuchokonoe mambo ya udini?Huku KASILIMU lini?Al Jazeera ni TV ya waarabu WAISLAM sasa huyu tido najiuliza kasilimu lini au ndio udini mpaka AL JAZEERA?
Inaanzishwa..Hakuna aljazeera ya kiswahili banaa musidanganywe.
Nashangaa sana kwa generation ya JF ( generally younger than Tido Mhando's) kushabikia senior citizens kubaki kwenye madaraka/ utumishi. Nyinyi mtashiriki lini kuendesha Taifa kama mnataka watu wale wale waendelee kuwaongoza?
-
- Ingawa pia the big question ni kwamba Tido alifikaje kule TBC? Au ndiyo yale yale ya Ulimwengu na Mkapa?
Willie @ NYC, USA.
That is a big question indeed. Hiyo tulizipataje tuachie kwanza. Cha msingi ni kwamba huyu bwana hakuondoka pale kwa kupenda kama ilivyokuwa kwa akina Oprah na Lary King. Aliwaudhi wakubwa kwa kufanya kazi professionally and objectively. Ni hilo tu. Ndio maana mwenzake anaenda kuizika TBC kama mwenzake alivyoizika ATC, madamu wakubwa wafurahi. Tutaendeleaje kwa kuwachukia watu wanaofanya kazi zao kwa ufanisi na kuwakumbatia wanaojipendekeza lakini wakivurunda na kuua mashirika yetu kama hao wajinga wa ATC?
Ufanisi gani Aliokuwa Nao Tido?????Mtu kakaaaa BBC lakini angalia hata Tovuti yao TBC. Tovuti yao utadhani ni i ya gazeti. Haina clip za audio au video . Haina Channel youtube.? hawaweki japo vipande vya habai muhimu.
Binafsi sioni tofauti gani aliyoleta Tido kwenye output ya TBC. Labda huko kwa wafayanyaka lakini Output wa public ilikuwa ile ile
Makao makuu ya idhaa hiyo yapo wapi??
Una uhakika na unachokinena? ipitie tena wavuti ya bbc swahili BBC Swahili - Mwanzo
Ufanisi gani Aliokuwa Nao Tido?????Mtu kakaaaa BBC lakini angalia hata Tovuti yao TBC. Tovuti yao utadhani ni i ya gazeti. Haina clip za audio au video . Haina Channel youtube.? hawaweki japo vipande vya habai muhimu.
Binafsi sioni tofauti gani aliyoleta Tido kwenye output ya TBC. Labda huko kwa wafayanyaka lakini Output wa public ilikuwa ile ile
Kiongozi inawezekana umri wako bado mdogo kiasi kuwa hukuijua RTD/TVT aliyoikuta Tido na alipoianza TBC............Huwezi vilinganisha kabisa na tofauti yake iko dhahiri kabisa!
Ufanisi gani Aliokuwa Nao Tido?????Mtu kakaaaa BBC lakini angalia hata Tovuti yao TBC. Tovuti yao utadhani ni i ya gazeti. Haina clip za audio au video . Haina Channel youtube.? hawaweki japo vipande vya habai muhimu.
Binafsi sioni tofauti gani aliyoleta Tido kwenye output ya TBC. Labda huko kwa wafayanyaka lakini Output wa public ilikuwa ile ile
Huwezi amini lakini hiyo ndo habari! Tido ameukwaa ukurugenzi wa al jazeera chanel ya kiswahili!