Mshahara wake ulikuwa shilngi ngapi?
15m or 18m monthly sikumbuki vizuri which is which kati yake na yule wa TRA, mmoja anakunja 18m mwingine ndio hiyo 15m sasa sukumbuki vizuri kama Tido ndio 15m and Kitilya 18m au the opposite.
Mshahara wake ulikuwa shilngi ngapi?
Most members ndo wakina nani? Kuwa specific, humu kuna members zaidi ya 6000!Sababu mkataba haujawa renewed watu mnaanza sympathy. Wakati wa uchaguzi most members hapa walikuwa wakilalamikia TBC.
Kwa nini watu tunakuwa ka vinyonga.
Nyambala, mikataba yote huongozwa kwa vipengele vya mkataba ambavyo ni points za kisheria, hivyo kisheria, Tido amemaliza rasmi mkataba wake tangu tarehe 15/12/2010.
Lakini licha ya kuwepo kwa mkataba husika, TBC ni shirika la umma, hivyo mikataba yake yote hutekelezwa kwa kufuata kanuni za utumishi wa umma zinazosisitiza six months notice prior to exipire date ya mkataba wake.
Kwa vile Tido was not served with leter of intent toka serikalini, tena siku hiyo ametoka kuonana na Katibu Mkuu wake asimweleze chochote kuhusu barua ya kumtaka kukabidhi ofisi, huu ni uthibitisho wa "malice ".
Sheria zimefuatwa lakini taratibu hazikufuatwa na kanuni zimekiukwa.
Smooth transition ni zile zinazo zingatia sheria, taratibu na kanuni.
the contract come to an end SO WHAT
Hivi wananchi hatuna say katika hili? Can someone tell me what lipi tunaweza kufanya kuhakikisha tido stays?
Hivi wananchi hatuna say katika hili? Can someone tell me what lipi tunaweza kufanya kuhakikisha tido stays?
Tido Mhando, Samuel Sitta ni walewale, unafiki ndio unawasumbua kuna kipindi alijikomba kwa kina EL, then akashituka kwenye kampeni nadhani ni masharti ya wafasdhili akawaudhi CCM haya ndio malipo yake.
All in all aende tu!
Ni RutashubanyumaWagogo NGOs....hahaaa
Kwa hiyo na Rutashubyanyuma ni lawyer?