wako wapi wale waliokua wanailaani TBC nao waseme yakwao?? maana hapa naona zimejaa sifa wakati very short while ago nilizoea kusoma mabaya kuhusu TBC na huyu baba??
Au ndio wale mbayuwayu sisi??
mkuu nimewaza na kuwazua lakini nimekosa jibuYaani the twist is almost 180 deg.
i will never do this if i love my country... politicizing professions!!!Hivi wananchi hatuna say katika hili? Can someone tell me what lipi tunaweza kufanya kuhakikisha tido stays?
uko nchi gani? au kijiji gani mkuu?Utakumbukwa kwa mabadiliko makubwa uliyoyafanya TBC ambapo siku wengi wetu tunaangalia TBC badala ya ITV tuliyo kuwa tumeizoea. Atakayekuja akiburunda itawacost sana maana najua hapo hakutakuwa na handover nzuri.
Ni kweli maana wapo akina SULTANI, MAKAME, PANDU, MWINYICHANDE...wazanzibari
akina MAGANGA, MASANJA, SHIJA, NYANG'IJA, NG'WANANGWA...wasukuma/wanyamwezi
akina SHIRIMA, MACHA, KINABO, LYIMO...wachagga
Nadhani tusiangalie wanakotoka bali VIWANGO ila mmh!!