Tido Mhando atemwa TBC

Tido Mhando atemwa TBC

terrific point, except for the Dan Rather part, sihitaji kujua wanachofanya wakina Dan Rather kutathmini kipi ni bora kwa Tanzania. Hatuko Marekani hapa!

- Dan Rather, alifukuzwa CBS News kwa kwenda kinyume na interest za shirika, akaenda kwenye sheria akashindwa I hope sasa unanielewa kwamba kama Tido ameonewa aende kwenye sheria, kama sikosei alipata hiyo kazi pale 2005 alipotangaza akiwa BBC kwamba amefanya polls Tanzania na kugundua wananchi karibu wote tunawataka Mtandao ingawa mimi hakuniuliza kwenye hiyo process kama ninawataka, akaungwa mkono sana na Mh. Kingunge, the next thing akapewa kazi na Mtandao hao hao ambao leo hawamtaki tena,

- Wakigombana na kuvurugana wenyewe kwa wenyewe sisi wananchi tunapigania nini?
Katika huu ugomvi wao what is our interest yaani wananchi, mimi siioni!

William.
 
Hicho kipengele ni............"two way traffic"............Je, Mhando aliiandikia Serikali nia yake ya kutaka kuendelea?..........Otherwise nakubaliana sana na Mkuu Malecela hapo juu.............
Kufuatana na taratibu za utumishi wa umma, na mkataba wa ajira, vilevile kulingana na sheria ya kazi ya mwaka 2004 unapokuwa na fixed contract, huhitaji notice kwani notice is presumed given on the end date u had, unless u had separate and documented discussion about extension...
 
Kimatendo mnamkubali JK ila kwenye kusema mnafanya kinyume chake na pia chuki zimewajaa.
Huyo Mwema kajiweka mwenyewe tu hapo? Sio chaguo la JK? Anatekeleza maamzi ya nani? Ndo maana wakati mwingine huwa natumia lugha ya ukali ili angalao mijitu ielewe.
JK ni muungwana sana na ndo maana uongozi wake upo tofauti sana na mtangulizi wake.
Upinzani haukua ICU kabla ya kuja JK? Kuweni wakweli otherwise shame on you.
 
Mkuu hata TIDO aliwekwa hapo na JK, lakini angalia lililompata-sababu ni kwamba amekanyaga vidole vya huyo JK na mafisadi wenzake, sasa kwa nini unadhani itakuwa ni tofauti kwa Mwema kama naye kakanyaga hivy vidoke?
 
Mkuu JK ni mtu wa visasi na ktka hili hana aibu. Kumbuka alivyoingia '05, akina Mashishanga, Mangula at al walienda wapi? Ukubali ukatae huyu ndiyo JK na Visasi na vipenzi vyake ni watu wanaofikiri baada ya kusema/kutenda kama Makamba, Kombani, Shimbo na wengine wengi
 
Swali: Je, baada ya Mhando nani kufuata? IGP Mwema atapona kweli? maana mie naona hakufanya kazi kama ya Mahita
Vionambali nisaidieni hapa. Ni hilo tu kwa leo

Swali: hivi, IGP Mwema kazi yake ni ya mkataba wa miaka 4 kama ilivyo kuwa ya Tid?. Mkataba wa Tido ulisema ni lazima yeye kupewa mkataba mwingine baada ya ule wa awali kuisha? Hivi nini basi mantiki ya kuwa na kazi zenye mikataba hii mifupi? Na mwenye uamuzi wa mwisho wa kuongeza mkataba wa ajira ni muajiri au muajiriwa anaye hisi anastahili kuendelea hata kama muajiri wake hamtaki?
 
Ni kweli mkuu, lakini hapa tayari Tido alikuwa kashaongea na mwajiri wake juu ya kuongeza mkataba wake ili aendelee kuboresha shirika hilo na kimsingi walikuwa pazuri, kinyume na hilo anaambiwa siku moja kabla kukabidhi office ili mkataba ukisema anatakiwa apewe notes ya ya miezi 6, sasa kuna nini hapa, kwani wasimtaarifu mapema? Hawakuwa na lengo la kummwaga lakini uchaguzi umekuwa source.
 
Je, hili linafuta haki ya muajiri kuamua kutokukuongeza mkataba? Huyu atakuwa anazeeka vibaya basi, hana lolote.
 
Mkuu, nafikiri kama Mhando wangemtaarifu mapema kuwa wasingemwongezea contract wala asingelalamika, kwa namna walivyomfanyia ni udhalilishaji na kutokumheshimu, kwani wamekiuka kanuni za mkataba kati yao.
 
Kama wamekiuka mkataba mahakama za kuyashughulika haya hazipo? Au anataka hili nalo liwe ni suala la kisiasa?
 
Ni kweli mkuu, lakini hapa tayari Tido alikuwa kashaongea na mwajiri wake juu ya kuongeza mkataba wake ili aendelee kuboresha shirika hilo na kimsingi walikuwa pazuri, kinyume na hilo anaambiwa siku moja kabla kukabidhi office ili mkataba ukisema anatakiwa apewe notes ya ya miezi 6, sasa kuna nini hapa, kwani wasimtaarifu mapema? Hawakuwa na lengo la kummwaga lakini uchaguzi umekuwa source.

Cut the crap,mwajiri hapa ndio mwenye maamuzi uendelea au uondoke and not negotiable
 
kwani kwao wote wamesomea kazi ya habari!! au kwao aliyeenda shule ni yeye peke yake kwahiyo sehemu rahisi na nafuu kusaidia nduguzake ambao hawakwenda shule ilikuwa hapo TBC?
 
- Dan Rather, alifukuzwa CBS News kwa kwenda kinyume na interest za shirika, akaenda kwenye sheria akashindwa I hope sasa unanielewa kwamba kama Tido ameonewa aende kwenye sheria, kama sikosei alipata hiyo kazi pale 2005 alipotangaza akiwa BBC kwamba amefanya polls Tanzania na kugundua wananchi karibu wote tunawataka Mtandao ingawa mimi hakuniuliza kwenye hiyo process kama ninawataka, akaungwa mkono sana na Mh. Kingunge, the next thing akapewa kazi na Mtandao hao hao ambao leo hawamtaki tena,

- Wakigombana na kuvurugana wenyewe kwa wenyewe sisi wananchi tunapigania nini?
Katika huu ugomvi wao what is our interest yaani wananchi, mimi siioni!

William.

Wanaugomvi gani??
 
nakubaliana na wewe William kwa aslimia zote...
Jana nilisema na leo narudia kuwa huyu Tido kama mkataba umesitishwa kinyume na sheria, si vipo vyombo husika? Ya nini analialia kwa public ili apate huruma au?

And now the Premier, huyu Pinda bwana aaaagrrrr! Nini kazi ya wizara ya habari, utamaduni na michezo (si ndio walimwajiri na 'kumfukuza' Tido?)

Tuandike kwa kuangalia ukweli.
1. Tido alifanya jambo la kushangaza, kuwaita mafisadi wajisafishe bila kupata ukweli upande wa akina mwakyembe.
2. Kuwakatia Chadema matangazo eti walikuwa wanatukana ili hali ulikuwa mkutano wa kuuza sera.3
3. Pamoja na yote hayo, ni ukweli usiopingika kuwa aliimarisha TBC na kuwa na ushindani na vyombo binafsi licha ya kuwa alikuwa anapata ruzuku. TBC ilionekana kama chombo cha Umma kwa baadhi ya nyakati. Mnyonge mmyongeni lakini haki yake mpeni.

Kilichomponza ni uchaguzi kwa kuruhusu habari za wapinzani na hivyo kukinzana na amri ya Mh Makamba. Alifanya haya kwa nia njema kama mwana taaluma na kutaka kuimarisha demokrasia.
Anacholalamika Tido si kurudishwa kazini.Ni utaratibu wa kumaliza mkataba ambao hakufuata taratibu. Mwajiri alitakiwa amweleza Tido katika muda fulani ima anadhamira ya kuongeza makataba au mkataba ukimaliza basi. Hizo ndizo taratibu za kazi. Hata mimi nimeshawahi kufanya kazi kwa mkataba na nilitaarifiwa majaaliwa yangu miezi mitatu kabla ya mkataba wangu kuisha. Hii miezi mitatu ilitokana na mkataba tuliowekeana wa kutoa notisi kwa mwajiri au mwajiriwa. Taratibu hizi zipo na zinatumika duniani. Kwa sisi Watanzania tusiojua haki za ajira zetu ni rahisi kusema '' analalamika nini kama mwajiri amesitisha mkataba''. Ni upeo wetu ulivyo. Kama mtakumbuka Mama Tibaijuka alitaarifiwa miezi sita kabla ya mkataba kuisha.

Ajira: Kuhusu Tido ni mtangazaji wa siku nyingi na wa mataifa mbali mbali. Kitendo cha Tido kurudi Tanzania kwa sisi tunaomjua kilikuwa cha kizalendo zaidi kuliko maslahi. Tido ana CV ya kutisha. Kama kumbu kumbu zangu zipo sahihi, Tido alikuwa mjumbe wa UN kule Timor Mashariki kushughulikia mzozo wa muda mrefu uliozaa Timor tunaoijua. Hiivi tunavyoongea ukweli ni kuwa anagombewa kama mpira wa kona, kwahiyo kusema analilia ajira TBC ni kutofahamu ukweli kuhusu Tido.

Yaliyompata Tido ni mambo ya kawaida kwa nchi masikini kama zetu. Engineer akisema hatuhitaji flyover anafukuzwa au kuhamishwa kazi. Daktari akisema kuna kipindu pindu anahamishwa nakupewa Demotion. Mhassibu akisema fedha hzi si za chama ni za umma anapoteza kazi. Bwana kilimo akisema tutumie kilimo cha umwagiliaji na si mvua za Thailand anaadhibiwa kwa kuhamishiwa mikoa ile. Kwa mantiki hii kinachompata Tido kimewapata wengi, na kwa hofu ya ugali wa kila mtu basi mwanasiasa akisema hakuna njaa kila mtu atakubali hata kama watu wanakufa kwa njaa. Waziri Kombani alichosema kuhusu katiba anajua fika kuwa si kweli, lakini aseme nini ili kumridhisha bosi kama si kukataa katiba mpya? Kilichompata Tido ndicho kilichompata Sitta. Kwa ushabiki wetu hatujui kuwa tunaua taifa. Ni lazima wawepo watu watakaosimamia ukweli hata kama ukweli huo unauma.
Yapo mabaya ya Tido, lakini hayatuzuii kusema mazuri aliyoyanfanya.
 
Ajiunge na CDM awe afisa habari kuendeleza mapambano najua anafua IGP hakupiga watu mabomu ya kutosha na kukamata wapiga kura kwa nini? hafai
 
Back
Top Bottom