Tido Mhando atemwa TBC

Tido Mhando atemwa TBC

Sasa hivi TBC imekuwa kama redio tanzania anzi za Ahmed Jongo na Michael Katembo. Yani ni usanii na propaganda za serikali tu. Nadhani wataanzisha na kipindi cha mazungumzo baada ya habari!
 
Hivi wewe ndo leo unagundua.... kama upo hapa JF siku zote ungekwisha gundua hata kabla hajafukuzwa. Kulikuwa na tetesi mpaka ikatokea. Kuwa mtiifu hapa JF habari zote utazipata fist right!
 
if i were you i wouldn't dare tune to TBC
its rotten i tell you rotten
 
hii ndio tz nchi ya viongozi wasanii. 2015 itakuwa kama ivory cost kwa gbabo!
 
Pamoja na kwamba mnasema alikuwa hapendelei bado naona alikuwa bado "anjitahidi" kuminya baadhi ya habari.
 
Hatimaye TBC yarudi TVT rasmi.

Hallow Jack
its me wayne.. our nation is in great danger... we have received an intel that ASSAD is in DAR...so i am asking you as a friend and also as a friend to my brother David , to SACRIFICE YOURSELF so as we can eliminate ASSAD......pl contact Bill Buchanan.....he will fill you in on the situation....goodluck
 
Hatimaye TBC yarudi TVT rasmi.

Hallow Jack
its me wayne.. our nation is in great danger... we have received an intel that ASSAD is in DAR...so i am asking you as a friend and also as a friend to my brother David , to SACRIFICE YOURSELF so as we can eliminate ASSAD......pl contact Bill Buchanan.....he will fill you in on the situation....goodluck
 
Mzee wa watu alijitahidi kweli kuwafikishia wananchi habari zenye ukweli, lakini Mafisadi wamemtosa kweli sisiem haina rafiki wa kudumu kama ambavyo marekani ilivyo POLE MZEE TIDO HII NDO TZ NA HIYO NDO CCM
 
Siku za mwizi ni arobaini...tido mapinduzi yako ya habari na utaifa wako tutaukumbuka na kuuenzi.
 
kama ni hivyo,tunafundishwa kuwa hatutakiwi kuwa wa kweli na wa wazi ktk nafasi zetu za kazi hata kama chama kimekosea hakitakiwi kukosolewa kwani ukifanya hivyo tu u matatani,ni aina gani ya nchi tuliyo nayo
nadhani tuwe kama tunisia tupunguze uoga kwa maslahi ya watoto na nchi yetu na vijukuu vijavyo

mapinduziii daimaaaaaa :frusty:
 
Lakini kwa Mzee Mengi angeweza na kule ndo kunamfaa huko TBC kwa kweli haendani nako hata punje. Namshauri Mzee Mengi amchukue waka-form upya ITV huenda ikawa ndio TV station kombozi, maana kiukweli kwa sasa TBC imepoteza kabisa Mwelekeo kabisa!!!
 
Mchakato majimboni nayo labda imechangia kumtoa kwa kuonyesha utumbo unaofanywa na ccm,,,,
 
Ndio mkuu!tbc kwa sasa imeshuka na itaendele kushuka
si unajua tbc na ccm ni kama uji na mgonjwa we hukijui hilo?
 
Ndio mkuu!tbc kwa sasa imeshuka na itaendele kushuka
si unajua tbc na ccm ni kama uji na mgonjwa we hukijui hilo?

LAKINI
Tbc ni ya uma na sio ya Ccm iweje waichukulie kama yao? umefika wakati tubadilike sasa

mapinduziiii daimaaaaa:welcome:
 
tido walikuwa hawampendi-walikuwa wanamtafutia sababu tu-nakumbuka alishawahi mhoji lowasa kipindi machakato wa richmond upo juu-lakina-wakti interview haijachanganya-wakakatisha na haijawai rudiwa tena na sababu hazjawai tolewa-so nazan ukweli tido aliokuwa anausema viongoz na mafsad walkuw ahatarin sana-ndo mana wameamua kumtoa
 
nimekuwa nikufuatilia kile kipind cha ujumbe kupitia muziki kinachorushwa ucku wa manane_yaan huyu jamaa angeckilizwa na jk au wajumbe cc ya ccm lazima angefukuzwa kaz, jamaa anaelezea utafiti uliofanyika hiv karibun unaonyesha tanzania ni nchi ya pili duniani kwa wing wa mali asili _jamaa kaelezea madini,hifadh, misitu, maziwa n.k na kuanza kulinganisha maisha ya watanzania na jinsi Mafisad wanavyonufaika na Machinga wanavyopigwa virungu, huduma za afya na wamama wanavyozalia njian yaani Kamalizia na ule mziki wa KILIO CHA SAMAKI MACHOZ HUENDA NA MAJI_anawahamasisha watanzania wajitokeze kudai haki huku akipinga waz waz DOWANS na EPA, kamaliza hapo akaingia mwingine na Kipindi cha Urithi wetu_huyo ndo akamaliza kila kitu, yaan utabaini watu wamechoka bila uoga jamaa wanaishambulia govt live_kweli Mhando kaacha mabadiliko makubwa tbc_ilikuwa vigum sana kuckia mawazo ya kiharakat live kutoka kwa watumish wa vyombo vya umma_viva frelimo
 
Back
Top Bottom