Tido Mhando atemwa TBC

Tido Mhando atemwa TBC

lete hiyo sheria hapa ya notisi ya miezi sita, au tutajie vifungu

you better have it

He said that, hakuelewa and was suprised with the termination, with all his shortcomings they needed to respect the guy and act like adults instead of making it questionable!
 
... with all his shortcomings they needed to respect the guy
"with all his shortcomings"? unajuaje kama moja ya "shortcomings" zake ni kwamba aliiba? kwa nini usema awe respected wakati sote tuna guess guess tu hapa, hatujui kwa nini kawa fired

Tanzania tunahitaji sana utamaduni mpya wa watu kuwa fired as often as necessary
 
Premier says Tido not sacked, contract expired
12_10_6zxwz7.jpg
The Prime Minister Mizengo Pinda.

By DAILY NEWS Reporter, 17th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 252

THE government on Friday refuted reports published by several media outlets that the managing director of Tanzania Broadcasting Corporation (TBC), Mr Tido Mhando has been sacked.

The Prime Minister Mizengo Pinda told editors in Dar es Salaam on Friday that Mhando had not been sacked but his contract had expired. He, however, said that he would meet with Mr Mhando to discuss the matter as he (Mhando) had sought audience with the prime minister.

According to a statement issued on Friday and signed by Mr Kasian Ernest, on behalf of the permanent secretary of the Ministry of Information, Youth, Culture and Sports, Mr Mhando was not fired but his contract had expired.

“The Ministry of Information, Youth, Culture and Sports would like to set the record straight that Mr Mhando was not fired, but his contract had simply ended thus he had completed fulfilling his duties for the media organization as required,” stressed Mr Ernest.

Several media outlets on Friday had reported that Mr Mhando had been relieved of his duties by the ministry, claiming that his removal was as a result of him being fair to all political parties when broadcasting the October general election campaigns and debates.

“I am very surprised by this revelation and even my co-workers are too and some are even crying,” a certain local daily had quoted Mr Mhando as saying.

“I had received a letter for my removal immediately after I had met the permanent secretary for the ministry of information, youth, culture and sports but this is against public employment procedures,” he was quoted as saying.

However, these reports were denied by the ministry which issued a press release to all media outlets to counter the misinformation. Mhando had worked with Kenya Broadcasting Corporation (KBC) in the 80s and thereafter joined BBC as head of Kiswahili Service in 1999 before joining TBC.
 
"I had received a letter for my removal immediately after I had met the permanent secretary for the ministry of information, youth, culture and sports but this is against public employment procedures," he was quoted as saying.

Wanataka kutuambia ya kuwa hata Tido hajui tofauti ya mkataba kwisha na kuachishwa kazi? Ni vyema wakawa wakweli hapa..............
 
Letting the contract expire is a polite way of firing. Huyu Waziri Mkuu asitufanye Watanzania woote wakimbia umande.
 
Achoelezea TIDO ni kuwa its TRUE kuwa alikua anajua kuwa Makataba wake unakwisha ila kwa kufuata taratibu ni kuwa alitakiwa afahamishwa six month b4, ila Serikali imempa barua Ghafla sana.....Ila kwa experience yake sidhani kama atakosa pa kujishikiza afterall kiinua mgongo chake ni Mtaji tosha sana kwa kuwa B'ness tycoon hapa Bongo...Alitakiwa kusoma alama za nyakati...Hii nchi Wahindi wameshatuharibu, Wanashida watakuthamini, ukiwatimizia wanakutupa.....Karibu kijiweni TIDO....
 
Karibu Tido katika upambanaji kivingine. Hiyo ndiyo CCM tunayoipigia kelele sisi. Tusaidie sasa tupate katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi...mwaka 2015 tutakurudisha kwa heshima. Ahsante Tido kwa falsafa zako na mazuri yote yaliyofanyika TBC. Nani leo hii hakubali TBC imebadilika? Prayers na karibu bonde tule machungwa.
 
Achoelezea TIDO ni kuwa its TRUE kuwa alikua anajua kuwa Makataba wake unakwisha ila kwa kufuata taratibu ni kuwa alitakiwa afahamishwa six month b4, ila Serikali imempa barua Ghafla sana.....Ila kwa experience yake sidhani kama atakosa pa kujishikiza afterall kiinua mgongo chake ni Mtaji tosha sana kwa kuwa B'ness tycoon hapa Bongo...Alitakiwa kusoma alama za nyakati...Hii nchi Wahindi wameshatuharibu, Wanashida watakuthamini, ukiwatimizia wanakutupa.....Karibu kijiweni TIDO....

Sera ya CCM is use and dump.............................na kwa hili waliliiga kwa mkoloni...................
 
- Ndio maana tunasema sana kwamba hili taifa tuna safari ndefu sana kufika tunakokwenda, I mean I have a lot of respect for Tido, good man, Good CEO: HOWEVER why the fuss here? Alikuwa ameajiriwa na serikali ambayo kama siko mbali na ukweli haikuridhika na uendeshaji wake wa chombo chake, sasa kama waajiri wake wameamua kwamba hawamuhitaji katika kukidhi interest za serikali ndani ya TBC!

- Now what is the problem here? A sitting Prime Minister anaacha shughuli zake muhimu za taifa anakuja kujibu non national ishus like this? I mean what is wrong with this nation? I am lost!

- Look Dan Rather ametoa news ambazo hazikuendana na policies za CBC Inc, wakamfukuza kazi, hakuridhika boom kwenye sheria, akashindwa case closed! Kama Tido ameonewa si kuna sheria, kama ile iliyomlazimisha Rais mkapa kuwalipa maofisa wa BOT na Polisi aliowafukuza illegally!

- Hili taifa vipi?

William.
 
Hakuna cha Ajabu, aliyeua kwa upanga atauliwa kwa upanga, Tido aliingia kwa style hiyo hiyo ya kumnyanyansa Mwafisi mtu aliyekua anajua kazi na anashule. Yeye na shule yake ndogo akapewa asali na wenzake kutupwa nje. Akaleta watu wake na kuwapa vyeo bila elimu huku akiwanyanyasa aliowakuta na hata kugeuza ofisi yake kitu tofauti. Wafanyakazia anaodai wameshangaa ni wakina nani? labda hao wapenzi wake lakini wale wote aliokua anawacheleweshea misharaha, anatumia hela zao za saccos kulipia mishahara, anawakata safari zao halali ili amchukue Suzy kwenye safari zisizomhusu wamefurahi sana na sasa wanajipanga kupigania nafasi zilizoachwa maana wanaimani kwamba hata hao waliobebwa nae watarudishwa mahali pake. Nawatia moyo wakina Mwafisi, mama Edda Sanga na wengine wote waliomwaga manyanga wakati huo kuepusha shari wajipange waombe tena nafasi hiyo na kuja kumalizia malengo yao kwa faida ya taifa. Hilo la kusema sababu ya kuvibeba vyama vya siasa si kweli, huyu bwana alivibana sasa sana vyama hivyo kumbukeni habari ya mkutano waufunguzi wa chadema pale jangwani, ku edit kuanguka kwa JK pale jangwani etc juu ya hiyo midahalo contract ilimbana kwani alikua tayari kuifuta. Habari ndio hiyo tangulia Tido nchi hii yetu wote inamaana hukujiandaa? kiinua mgongo chako cha BBC kiko wapi? mshahara wako mkubwa kabisa 'special package" uko wapi? hii nafasi itangazwe watu waombe tusingoje mambo ya JK kurudisha fadhila, TBC yetu wote
 
nakubaliana na wewe William kwa aslimia zote...
Jana nilisema na leo narudia kuwa huyu Tido kama mkataba umesitishwa kinyume na sheria, si vipo vyombo husika? Ya nini analialia kwa public ili apate huruma au?

And now the Premier, huyu Pinda bwana aaaagrrrr! Nini kazi ya wizara ya habari, utamaduni na michezo (si ndio walimwajiri na 'kumfukuza' Tido?)
 
Wanataka kutuambia ya kuwa hata Tido hajui tofauti ya mkataba kwisha na kuachishwa kazi? Ni vyema wakawa wakweli hapa..............

Ukweli mkataba uliisha tuache double standard
Hivi kwanza TBC si iko chini ya ofisi Waziri mkuu.?
 
Ukweli unauma wakuu.hata kama mkataba umekwisha ulishajisahau akajua watafanya kishikaji atasaini mwingine. Pole weeee tido
 
Mmh mkuu sio wizara ya habari? (swali juu ya swali...kibongobongo)

Inatakiwa iwe chini ya wizara ya habari lakini si unajua media ni chombo muhimu kwa propaganda. Nakumbukahata lilebango la kuelekea TBC client alionekana ni Ofisi ya waziri mkuu. Kiutendaji viko chini ya wizara ya habarilakini kimamlaka na kiteuzi wakuu wa hivi vyombo ofisi ya PM ndio inahusika

Hata huo mkataba wa Tido sidhani kama mwanzo alisign na Wizara ya habari .Atakuwa alisign na Ofisi ya PM.

But tuellimishane inaweza uelew wangu sio sahihi
 
Achoelezea TIDO ni kuwa its TRUE kuwa alikua anajua kuwa Makataba wake unakwisha ila kwa kufuata taratibu ni kuwa alitakiwa afahamishwa six month b4, ila Serikali imempa barua Ghafla sana.....Ila kwa experience yake sidhani kama atakosa pa kujishikiza afterall kiinua mgongo chake ni Mtaji tosha sana kwa kuwa B'ness tycoon hapa Bongo...Alitakiwa kusoma alama za nyakati...Hii nchi Wahindi wameshatuharibu, Wanashida watakuthamini, ukiwatimizia wanakutupa.....Karibu kijiweni TIDO....

Hicho kipengele ni............"two way traffic"............Je, Mhando aliiandikia Serikali nia yake ya kutaka kuendelea?..........Otherwise nakubaliana sana na Mkuu Malecela hapo juu.............
 
Achoelezea TIDO ni kuwa its TRUE kuwa alikua anajua kuwa Makataba wake unakwisha ila kwa kufuata taratibu ni kuwa alitakiwa afahamishwa six month b4, ila Serikali imempa barua Ghafla sana.....Ila kwa experience yake sidhani kama atakosa pa kujishikiza afterall kiinua mgongo chake ni Mtaji tosha sana kwa kuwa B'ness tycoon hapa Bongo...Alitakiwa kusoma alama za nyakati...Hii nchi Wahindi wameshatuharibu, Wanashida watakuthamini, ukiwatimizia wanakutupa.....Karibu kijiweni TIDO....

Kina Sabodo wamefanya nini tena?
 
nakubaliana na wewe William kwa aslimia zote...
Jana nilisema na leo narudia kuwa huyu Tido kama mkataba umesitishwa kinyume na sheria, si vipo vyombo husika? Ya nini analialia kwa public ili apate huruma au?

And now the Premier, huyu Pinda bwana aaaagrrrr! Nini kazi ya wizara ya habari, utamaduni na michezo (si ndio walimwajiri na 'kumfukuza' Tido?)[/QUOTE]

Mie nakubaliana na wengi wanaosema kuwa angalau TIDO alijitahidi kuifikisha mahali hapo ilipo TBC ila napingana nao wanaposema kuwa alikuwa balanced wakati wa kampeni, hii si kweli kabisa maana alikuwa anapendelea sana CCM, na hilo liko wazi kwa yeyote aliyekuwa anafuatilia kampeni za uchaguzi, ilifikia wakati nikawa naichukia sana TBC, Isitoshe kama yeye TIDO alikuwa anajua kuwa mkataba wake unaisha alifanya jitihada gani kufuatilia ili kujua kama utaongezwa au la?
Pia nadhani angekuwa mpole inawezekana Mh Raisi anampango wa kumteua kuwa mbunge sababu aliibeba sana CCM ila inawezekana hajaambiwa nini atapewa ndo maana anahangaika.

Kuhusu waziri mkuu kuongelea suala la TIDO mie naona wala hajakosea maana waziri mkuu ni waziri wa wizara zote.
Nawakilisha.
 
- Ndio maana tunasema sana kwamba hili taifa tuna safari ndefu sana kufika tunakokwenda, I mean I have a lot of respect for Tido, good man, Good CEO: HOWEVER why the fuss here? Alikuwa ameajiriwa na serikali ambayo kama siko mbali na ukweli haikuridhika na uendeshaji wake wa chombo chake, sasa kama waajiri wake wameamua kwamba hawamuhitaji katika kukidhi interest za serikali ndani ya TBC!

- Now what is the problem here? A sitting Prime Minister anaacha shughuli zake muhimu za taifa anakuja kujibu non national ishus like this? I mean what is wrong with this nation? I am lost!

- Look Dan Rather ametoa news ambazo hazikuendana na policies za CBC Inc, wakamfukuza kazi, hakuridhika boom kwenye sheria, akashindwa case closed! Kama Tido ameonewa si kuna sheria, kama ile iliyomlazimisha Rais mkapa kuwalipa maofisa wa BOT na Polisi aliowafukuza illegally!

- Hili taifa vipi?

William.

Upo sahihi kabisa ila hapa Tanzania hayo unayoyasema yanafanyika wakati mwingine hanafanyika sivyo hivyo. Hata Tido bila shaka alighafilika kudhani kuwa ataendelea na mkataba mwingine bila kutarajia hayo yaliyotokea. Hapa Tanzania sheria na siasa zikichanganywa pamoja ndipo tunakumbana na vitu kama hivyo.
 
Back
Top Bottom