Tido Mhando atemwa TBC

Tido Mhando atemwa TBC

- Ndio maana tunasema sana kwamba hili taifa tuna safari ndefu sana kufika tunakokwenda, I mean I have a lot of respect for Tido, good man, Good CEO: HOWEVER why the fuss here? Alikuwa ameajiriwa na serikali ambayo kama siko mbali na ukweli haikuridhika na uendeshaji wake wa chombo chake, sasa kama waajiri wake wameamua kwamba hawamuhitaji katika kukidhi interest za serikali ndani ya TBC!

- Now what is the problem here? A sitting Prime Minister anaacha shughuli zake muhimu za taifa anakuja kujibu non national ishus like this? I mean what is wrong with this nation? I am lost!

- Look Dan Rather ametoa news ambazo hazikuendana na policies za CBC Inc, wakamfukuza kazi, hakuridhika boom kwenye sheria, akashindwa case closed! Kama Tido ameonewa si kuna sheria, kama ile iliyomlazimisha Rais mkapa kuwalipa maofisa wa BOT na Polisi aliowafukuza illegally!

- Hili taifa vipi?


William.
well said mkuu...

Tatizo letu hatuna priorities, tunapenda cheap publicity na kupoliticize almost everything

Alipokuja, hatukupewa maelezo, nashngaa ati sasa wanatoa maelezo
 
THE government on Friday refuted reports published by several media outlets that the managing director of Tanzania Broadcasting Corporation (TBC), Mr Tido Mhando has been sacked.

The Prime Minister Mizengo Pinda told editors in Dar es Salaam on Friday that Mhando had not been sacked but his contract had expired. He, however, said that he would meet with Mr Mhando to discuss the matter as he (Mhando) had sought audience with the prime minister.

According to a statement issued on Friday and signed by Mr Kasian Ernest, on behalf of the permanent secretary of the Ministry of Information, Youth, Culture and Sports, Mr Mhando was not fired but his contract had expired.

“The Ministry of Information, Youth, Culture and Sports would like to set the record straight that Mr Mhando was not fired, but his contract had simply ended thus he had completed fulfilling his duties for the media organization as required,” stressed Mr Ernest.

Several media outlets on Friday had reported that Mr Mhando had been relieved of his duties by the ministry, claiming that his removal was as a result of him being fair to all political parties when broadcasting the October general election campaigns and debates.

“I am very surprised by this revelation and even my co-workers are too and some are even crying,” a certain local daily had quoted Mr Mhando as saying.

“I had received a letter for my removal immediately after I had met the permanent secretary for the ministry of information, youth, culture and sports but this is against public employment procedures,” he was quoted as saying.

However, these reports were denied by the ministry which issued a press release to all media outlets to counter the misinformation. Mhando had worked with Kenya Broadcasting Corporation (KBC) in the 80s and thereafter joined BBC as head of Kiswahili Service in 1999 before joining TBC.
 
Mimi ninakubaliana na Pinda kwamba Mkataba ulikwisha, lakini hapo hapo ningependa kumuuliza PM, mbona mkataba wa Kikwete Ulikwisha waka u-renew, lakini huyu wa TBC hawataki kufanya hivyo? Au kuka kwake nje kumemfanya asijue mbinu za medani.(za kuishi hapo Bongo) kuna Mkurugenzi wa Benki ya Posta alipitiliza mkataba , hiyo haikuwa Tatizo, Mzee Kibonde kule sukari naye alipitiliza mkataba , haikuwa Neno, lakini kwa Tido inakuwa ishu? kulikoni? au hawa wengine ufanisi wao ulikuwa waku tukuka saana hivyo ilikuwa halali kupitiliza hiyo mikataba.
 
Baada ya uchaguzi mkuu wa october31 kuna mengi yamejitokeza na yanaendelea kujitoza. Mimi nachukua hili moja ambalo linaonekana ni mwendelezo wa visasi kwa viongozi wetu wakubwa kwa watu amao walionekana kutotoa mchango ili CCM ishinde. Mchakato majimboni tayari umeshamtokea puani Mr. Mhando japo wengine wanaweza wakasema siyo kweli. Kitendo cha Makamba kuzuia vijana wake wasishiriki midahalo ya TBC1 na TBC1 kuendelea na mchakato huo inaweza kuwa ni sababu ya kumtema Mhando.


Mhando mwenyewe haelewi picha lilivyoisha, sasa sisi wa inje tutaelewa nini. Naamini kabisa huu ni mwanzo tu na tena kipindi hiki wameeanza mapema kuna hofu ya wahanga wa Uchaguzi mkuu kuwa wengi zaidi.

Swali: Je, baada ya Mhando nani kufuata? IGP Mwema atapona kweli? maana mie naona hakufanya kazi kama ya Mahita
Vionambali nisaidieni hapa. Ni hilo tu kwa leo
 
Ni kweli dalili zote zinaonyesha igp mwema nae wakati wake umewadia kwani hakufanya kazi ya kuisaidia ccm kama wenyewe walivyokuwa wanategemea na kutaka
 
Ni kweli dalili zote zinaonyesha igp mwema nae wakati wake umewadia kwani hakufanya kazi ya kuisaidia ccm kama wenyewe walivyokuwa wanategemea na kutaka

Yetu macho na masikio pia. Kwani hawa jamaa wanataka vyombo vya dola na vya umma viwasupport hata pale pasipo stahili, isipokuwa hivyo ndipo sekeseke huwakumba vigogo husika.
 
Said mwema yupo hatihati! Hakuwazuia watu kulinda kura hasa maeneo ya mijini
 
Sio kuzuia tu, pia hakutumia nguvu nyingi kama ambavyo siku zote wamekuwa wakitumia. Halafu jamaa hata kama akiambiwa kuwachimba mkwara wananchi anatumia lugha yakawaida si kama akina Shimbo wanaongea kila waliloambiwa na wakubwa wao.
 
Kwani,cheo hicho alitakiwa akishike maisha.ngoja tupate mwingine.Hata mimi naweza.
 
...A sitting Prime Minister anaacha shughuli zake muhimu za taifa anakuja kujibu non national ishus like this? I mean what is wrong with this nation? Look Dan Rather ametoa ...
terrific point, except for the Dan Rather part, sihitaji kujua wanachofanya wakina Dan Rather kutathmini kipi ni bora kwa Tanzania. Hatuko Marekani hapa!
 
Letting the contract expire is a polite way of firing. Huyu Waziri Mkuu asitufanye Watanzania woote wakimbia umande.

His contract is expiring, yes! In addition to this, anakaribia umri wa kustaafu utumishi wa umma hivyo asingeongezewa muda isipokuwa kama kungekuwa na sababu maalum kama kulipa fadhila iwapo TBC ingewapigia debe CCM wakati wa uchaguzi uliopita na kama hilo halikufanyika basi sheria inachukua mkondo wake.
 
Hivi huku ndio kutibu majeraha ya kampeni za uchaguzi tukoambiwa?
 
Lipi sahihi-: Tido

Kafukuzwa?
Kamaliza mkataba?
katimuliwa?
kapewa kazi nyingine?
kajiuzulu?
 
Mwashangaa nini kwa Tido kuwa-sacked?
Hii nchi Bwana is cursed to the core. I can smell a rat that Tido failed to manage TBC programmes during the GE2010! Mnakumbuka kile kipindi cha mchakato Majimboni? Kile kipindi kiliwasaidia sana wapinzani hasa CHADEMA kwa wagombea wao kujieleza kwa umahiri kiasi cha kuwatetemesha CCM.
CCM kwa sasa wanatafuta mchawi. Wameshasahau kwamba wao ndiyo waliojiroga kwa kuwazuia wagombea wao wasishiriki kwenye midahalo hiyo.

Makamba alitakiwa awe wa kwanza kuwa sacked na si Tido Mhando.
Hakika CCM kumejaa majuha watupu!!!!
 
He got what he deserved. Nashangaa watu wanasema hakuongezewa mkataba kwa kuwa alisaida upinzani wakati coverage ya TBC kwenye kampeni ilikuwa kwa CCM tu na wale washirika wake wa karibu.
 
Back
Top Bottom