Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,718
Tido hajafukuzwa ila mkataba wake umekwisha. Hajatolewa TBC bali kamaliza mkataba wake TBC. Labda tujadili kwanini wasimpe tena mkataba mwingine au kwanini wampe tena mkataba mwingine.
hata kama mkataba umekwisha .....walitakiwa kumpa miezi sita ya ku wind up..kwa maandishi that is according to Tido .......sasa kama wamemuandikia ghafla kumkabidhi mkurugenzi mpya hilo pia linawezekana lakini haliashirii peaceful transition..
MY TAKE : TIDO AMEISAIDIA SANA TBC...ANA UJUZI MKUBWA ...WA KIMATAIFA...AMEITOA TBC SHIMONI HADI AKAIFANYA KUWA NA HADHI .....ILIKUWA IKIACHWA MBALI SANA NA ITV ....LAKINI KWA SASA ,HAKUNA TELEVISHENI YEYOTE ILIYO KWENYE LEVEL YA TBC NCHINI...HE GET MY CREDITS FOR THAT......TUNAJUWA ASINGEDUMU MILELE PALE LAKINI ANGEONDOKA KWA SALAMA ANGEWEZA KUENDELEA WKUWA CONSULTANT WA TBC ....