Inasemekana Tido Mhando katolewa/ kafukuzwa TBC kisa Kussuport CHADEMA kwa njia ya nyuma kipindi cha Uchaguzi. Baadhi ya Viongozi wa Juu wa CCM wanasema Tido Muhando AMECHANGIA Chama chao Kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi na pia Tido Mhando amechangia CHADEMA kupata Nguvu ndani ya wananchi.
Kwa mfano wanasema kwa nini Hakusimamisha Kipindi cha MDAHALO Majimboni wakati CCM walishaamua kujitoa kutoshiriki Mdahalo na walishamuamrisha akisimamishe, na yeye ALIKATAA na kusema Hawezi kusimamisha kwani italeta sura mbaya kwa shirika.
Na pia wanamshutumu kwa nini Hakubase 100% upande wa CCM, pia wanamshutumu kuwa alikuwa upande wa Chadema.
Siasa imeingia kumuondoa Tido Mhando.
(Wana jamii Hizi ni shutuma za kweli au ni Hearsays tu?)