Nightangale
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 265
- 2
naona watu wanachangia hadi wanaweka personal hatred
Hizo hazikosi wangu! Na mambo haya haya mwanzoni wakatujengea negative image na sasa tena wanakuja kicingine....
naona watu wanachangia hadi wanaweka personal hatred
pamoja na kuwa na mkataba na ukaisha haiingii akilini kumpa barua akabidhi ofisi katika siku mbili, hii haina tofauti na kumkamata mke wako ugoni ukamfungia virago
Najua mangi atamvuta ITV fasta ili akawamalize mafisadi.
Hiyo ni ngumu sana maana initial capital yake ni kubwa sana,labda kama na yeye alikuwa fisadi,kingine atawekewa mizengwe mikubwa sana katika kusagili hicho chombo cha habari!!Kama ana ubavu afanye kama Jeff Koinange,aanzishe Media Network yake.
Mh!Mimi sina uhakika kama mangi anapigana vita ya ufisadi,nachojua mimi ni kuwa anapigana vita ya kibiashara ambapo lengo lake kuu ni kulinda maslahi yake binafsi ya kibiashara!!!
yaani hicho ndo kinanitatiza, kama kuna mtu alikuwa hamfahamu tido na alisoma koments humu alipata tu negative impression kuhusu huyu bwana.
To my suprise i woke up this morning nakutana na completely a different image of this tido guy...
Watu bwana....kama bendera fata upepo tu, ukivuma kuelekea kusi..l.twende!
we can really dance with the rythm!
mangi naye tayari keshaingia kwenye sistim; siku hizi kimya- chama kimeshika hatamu!
hizo hazikosi wangu! Na mambo haya haya mwanzoni wakatujengea negative image na sasa tena wanakuja kicingine....
Kwa wanao msifia Tido kweli expectations zao they are so low....... Hivi apart from michakato majimboni where is creativity..... Kutokana na Tido experience and exposure HE MASIVELY UNDERPERFORMED....... TV ya taifa ni kwa ajili ya manufaa ya taifa (informative and educative) matokeo yake tunapata vipindi kama cherekochereko, kamali kwa wingi ...... na TV iko profit oriented full matangazo (hivi tunahitaji mambo kama bango)?
kuja jamaa kanitonya kwamba issue iliyomwondoa ni ya mitambo ya dowans. Kuna mtambo mmoja ambao wakuu walitaka waichomekee tbc iununue ili usaidie shughuli za matangazo pindi umeme unapokatika. Nasikia tido akavimba.
kwennda kumharibia tido mhando kazi yake zuri bbc ulaya kwa ahadi za pata potea hivi sijui kama kweli mwanataaluma yeyote huko mbele ya safari huenda akakubali kuitikia ombi la serikali kurudi nyumbani kuja kuongeza nguvu mashiri ya miaka mingi yaliodumaa kama rtd mpaka ikaja ikawa kivutio????
Hii ni fundisho tosha kwa wanataaluma kutoingia mitego ya ajabu ajabu ya wanasiasa. Mh tido pole sana lakini kwa wale wanaojua kazi uliofanya pale, cv yako iko juu sana na wala sitoshangaa ukigombaniwa kuwa ceo wa mashirika mengine makubwa zaidi ya kimataifa wanaokubaliana na dhana ya impertiality kwenye media service.
You proved to us that you were such a unique breed of professional from the mad and always manupulated tanzanian job market
Kwa wanao msifia Tido kweli expectations zao they are so low....... Hivi apart from michakato majimboni where is creativity..... Kutokana na Tido experience and exposure HE MASIVELY UNDERPERFORMED....... TV ya taifa ni kwa ajili ya manufaa ya taifa (informative and educative) matokeo yake tunapata vipindi kama cherekochereko, kamali kwa wingi ...... na TV iko profit oriented full matangazo (hivi tunahitaji mambo kama bango)?