MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,229
Nasikia hata jina la TBC litafutwa ili lirudi lile la zamani RTD, kwani huyu jamaaa amewafanya baadhi ya wafanyakazi TBC wakose Morali wa kazi kwa kuwapendelea baadhi yao na ndio hao wanaolialia maana sasa ni kazi tu na si majungu aende tu, juzijuzi 2 amelipwa Tshs 12M za malimbikizo ya Mshahara ambao alikuwa hachukui kwa kuwa alikuwa anapata marupurupu makubwa na mshahara akaona ukae tu, hata hivyo mkewe bado yuko ulaya aende tu alizidi kujikomba amewaharibia sana wafanyakazi walioacha kazi sehemu zingine na kuja TBC. Toka............ Toka............ Toka....................... (Wachina miaka 25 ndipo tuachiwe Mitambo michakavu aibu sana)