Nightangale
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 265
- 2
i think to some extent tido knew what was facing him ahead so for him i guess he should be proud for what he has done for the organization and move forward and he should not start complaining whilst knowing kwamba alikuwa anaondoka tbc
Ofcoz haikuja as a suprise to him bana....dalili ya mvua si ni mawingu!
(kuna mahali nimesoma eti akampigia staff mmoja mmoja simu.....Ndo mkono wa kwaheri au)
Anyway mimi bana kilichonishtua asbh ya leo kuhusu Tido ni hii sudden change ya mtazamo wa wengi juu yake.
People should be frank jamani, kwenye kasoro toeni but dont forget to give credit where there is credit!