TID amtembelea RC Makonda nyumbani kwake

TID amtembelea RC Makonda nyumbani kwake

Umeambiwa unatuhumiwa.kelele kibao.je ungeambiwa unauza?
 
Hapo utasikia limeanzishwa grupu la Music linalojumuisha wasanii walioitwa central na Makonda.

Ndio maana nilishindwa kuishi Dar es salaam. Kila kitu usaniii...!
 
Ukiambiwa thibitisha ni igizo utaongea kipi kwa mfn??..
Jambo la busara huhitaji Busara kuliendea, ila lenye upotevu Huongozwa na matamanio
 
Back
Top Bottom