Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Naona ilikuwa mtaje Mbowe utaachiwa.Itakuwa T.I.D ndiye aliyemdanganya MAKONDA kuwa Mbowe ni muuza madawa ya kulevya.
Na Makonda akaingia mzima mzima..!
Naona ilikuwa mtaje Mbowe utaachiwa.Itakuwa T.I.D ndiye aliyemdanganya MAKONDA kuwa Mbowe ni muuza madawa ya kulevya.
Na Makonda akaingia mzima mzima..!
Naona ilikuwa mtaje Mbowe utaachiwa.Itakuwa T.I.D ndiye aliyemdanganya MAKONDA kuwa Mbowe ni muuza madawa ya kulevya.
Na Makonda akaingia mzima mzima..!
Kinyamwezi unaemwita mwana kakulaza ndani na kichura umeruka? Sijawahi sikia Bobby brown kaitwa central kwa kula ngada...sana tu!,kinyamwezi zaidi Mnyama T.I.D!
..life goes on!
Binadamu tunajisahau sana.Eti mtu anasema kwa hadhi alionayo hawezi kwenda polisi.Kujikweza kwa binadamu ni mtihani mkubwa sana mbele za MunguHuo ndio uzalendo sio hao wanaolilia heahima zao kuharibiwa,wakati mungu aliwapa bure.
Big up Top in Dar aka TID[emoji1241][emoji112][emoji188]
Hilo halina tatizo. Tutampongeza sana Mhe Makonda akitumia kila njia inayowezekana kuwashawishi mateja kuacha uteja na hata wafanyibiashara wa madawa ya kulevya kuacha biashara hiyo hata kama ni kuwaita kulala nao nyumbani kwake. Tatizo na kitu ambacho hakikubaliki ni kufanya MAJUNGU mbele ya kadamnasi dhidi ya watu ambao hana hata chembe ya ushahidi bali kwa kuongozwa na hisia na ubuyu wa mitaani.Yaani nyumbani kwa Makonda kumegeuka kuwa ndio Sober house!
Hii Movie ya Makonda inaitwa 'impotence'Tuipe jina gani hii MOVIE??
Ok!! Kumbe ndo huyo!!hivi huyo ndo alompiga jaji mstaafu sinde warioba pale ubungo plaza!!Umjue au usimjue.. Tutakujibu tu mkuu suali lako..aliyevaa nguo nyekundu kulia kwako
[emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Jamaa mbona anapose kama za shemale
series[emoji23]Igizo au tamthilia?
Acha uchokozi.Jamaa mbona anapose kama za shemale
Kwenye zile nyumba za mawaziri ndiyo anaishi Makonda the young billionaire .Nyumba ipi sasa,ya 600m au makazi ya RC
...utakuwa mtoto wa mama wewe!..,huo msala mdogo sana.,tena kwa faida ya wengi na TID mwenyewe akiwemo!Kinyamwezi unaemwita mwana kakulaza ndani na kichura umeruka? Sijawahi sikia Bobby brown kaitwa central kwa kula ngada