elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Sema TID anajua sana tatizo dharau hata alipotoka jela ile ngoma yake ya Asha nzuri mpaka leo ukiisikiliza unaona bado safiWa kiume, ulikuwa ubabe wa club tu mkuu, ninadhani ilikuwa Maisha Club.