TID amtembelea RC Makonda nyumbani kwake

TID amtembelea RC Makonda nyumbani kwake

Huo ndio uzalendo sio hao wanaolilia heahima zao kuharibiwa,wakati mungu aliwapa bure.
Big up Top in Dar aka TID[emoji1241][emoji112][emoji188]
Huyo ni mtumiaji,kama asingekuwa mtumiaji angeenda kufanya nn?
 
Huo ndio uzalendo sio hao wanaolilia heahima zao kuharibiwa,wakati mungu aliwapa bure.
Big up Top in Dar aka TID[emoji1241][emoji112][emoji188]
Yaani huyo mbwia unga unataka kumuweka kundi moja na hao wengine? Kuna mtu hata alishangaa kusikia TID anatajwa? Acheni sanaa zenu!
 
Huo ndio uzalendo sio hao wanaolilia heahima zao kuharibiwa,wakati mungu aliwapa bure.
Big up Top in Dar aka TID[emoji1241][emoji112][emoji188]
Mungu akinipa heshima bure hutakiwi wewe kuiharibu. Wewe ni nani uharibu heshima yangu? Shit.
 
Itakuwa T.I.D ndiye aliyemdanganya MAKONDA kuwa Mbowe ni muuza madawa ya kulevya.

Na Makonda akaingia mzima mzima..!
🙂TID informer! Tatizo la mateja waongo sana watasema chochote ili mradi wapate kitu kidogo wakapone. Inawezekana kataja watu wowote ili auwe SO na RC akaingia mkenge! Anasema turning point? Muongo unga hauachwi kirahisi namna hiyo kwa maneno ya siku moja.
 
Hao ndio size ya Makonda not those others like ..... ,aachane nao kabisa atarudi Misungwi kwa miguu
Acheni mikwara mama nyinyi. Mnajidanganya kuwa mjini kitambo hawaguswi. Hii awamu nyingine kabisa. Msiucheze moto hata kidogo.
 
Nimemdharau TID. Huwez kunidharirisha vile harafu ukajifanya kuniita tuongee!! Nimekaa ndan siku tatu et unaniita kwako?? Kabla ya hapo kwann usniite?? Hii haina tofauti ya nakupiga na nitakulipa!! Et kisa una jeuri ya pesa. Haikubarik. Labda kwa vile TID ameathirika na madawa inawezekana na akili imesinyaaa!!
 
Kwa Attitude hiyo hutafika mbali. Kama kutokea imeshatokea, kumtunza mtu kichwani ni kuwa na headache ya kujitakia. Haf kwanza hujaelewa 'TID ndo kajipeleka hakuitwa na Makonda wala nani'
 
Back
Top Bottom