TID amtembelea RC Makonda nyumbani kwake

Huo ndio uzalendo sio hao wanaolilia heahima zao kuharibiwa,wakati mungu aliwapa bure.
Big up Top in Dar aka TID[emoji1241][emoji112][emoji188]

Mbona na Makondaktate anatumia heshima na mamlaka aliyopewa na Mungu Bure Vibaya kwa kudhalilisha watu.
 
Hahaha hatimaye mnyama kapata kiboko yake TID na kiburi chake this time kawa mpole kama kama kobe
Kiburi ndicho kilimpeleka jela mara ya kwanza, baada yakupiga mtoto wa alieyekuwa bodyguard wa Kikwete walimwambia aende akaombe msamaha lakini wakati huo TID alikuwa kweli Top In Dar, mara yuko London, mara hiv, siku anahukumiwa kufungwa hakuamini.
 
476f00ac0e299660643243ba76f45e8e.jpg
Mapema leo Mwanamuziki Khalid Mohamed maarufu kama "Top In Dar" (TID) ambaye alikuwa miongoni mwa watu wa kwanza kuitwa polisi kwa mazungumzo ya tuhuma zake kuhusu anavyohusika na madawa ya kulevya, alifika nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kwa ya kumsalimia na mazungumzo ya kawaida
f47ba30c3a515c93d596169348cacac6.jpg
Kwa muda wote ambao wawili hao walipokuwa pamoja walionekana kufurahia mazungumzo yao, wakiwa wamekaa kama marafiki. Mkuu wa Mkoa akitumia muda wa mazungumzo hayo kumshauri TID kuhusu maisha kwa ujumla na umuhimu wa kumtegemea Mungu katika kila jambo analofanya

Kwa upande wake TID yeye alitumia muda huo kumweleza Paul Makonda kuhusu maisha ya kawaida na yale ya muziki, Aidha, mazungumzo ya wawili hayo yaligusa kuhusu namna wanavyoweza kuokoa vipaji vya wasanii

Aidha, TID amenukuliwa akisema "Muziki bila madawa ya kulevya inawezekana... This is the turning Point kwangu mimi na kizazi cha muziki huu wa kizazi kipya, nikiwa na Mhe. Makonda leo tukijidili jinsi ya kuokoa vipaji na sanaa kwa ujumla, Mungu ibariki bongo fleva, Mungu ibariki Tanzania".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] TID myamaaaaaa
 
>> huyu madereva huyu ajiangalie ataendelea kupokea wageni mwisho wa siku watampa sheeda wengine sio watu wazuri kabisa watampa mkono wa hongera kumbe ndio ananyonywa damu>>
 
Kiburi ndicho kilimpeleka jela mara ya kwanza, baada yakupiga mtoto wa alieyekuwa bodyguard wa Kikwete walimwambia aende akaombe msamaha lakini wakati huo TID alikuwa kweli Top In Dar, mara yuko London, mara hiv, siku anahukumiwa kufungwa hakuamini.
Kumbe aliyepigwa alikuwa mtoto wa bodyguard wa jk.
ni ke au me?
Na hashm thabit aliwah mpiga tid.
 
Hahaha hatimaye mnyama kapata kiboko yake TID na kiburi chake this time kawa mpole kama kama kobe
Sanaa
476f00ac0e299660643243ba76f45e8e.jpg
Mapema leo Mwanamuziki Khalid Mohamed maarufu kama "Top In Dar" (TID) ambaye alikuwa miongoni mwa watu wa kwanza kuitwa polisi kwa mazungumzo ya tuhuma zake kuhusu anavyohusika na madawa ya kulevya, alifika nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kwa ya kumsalimia na mazungumzo ya kawaida
f47ba30c3a515c93d596169348cacac6.jpg
Kwa muda wote ambao wawili hao walipokuwa pamoja walionekana kufurahia mazungumzo yao, wakiwa wamekaa kama marafiki. Mkuu wa Mkoa akitumia muda wa mazungumzo hayo kumshauri TID kuhusu maisha kwa ujumla na umuhimu wa kumtegemea Mungu katika kila jambo analofanya

Kwa upande wake TID yeye alitumia muda huo kumweleza Paul Makonda kuhusu maisha ya kawaida na yale ya muziki, Aidha, mazungumzo ya wawili hayo yaligusa kuhusu namna wanavyoweza kuokoa vipaji vya wasanii

Aidha, TID amenukuliwa akisema "Muziki bila madawa ya kulevya inawezekana... This is the turning Point kwangu mimi na kizazi cha muziki huu wa kizazi kipya, nikiwa na Mhe. Makonda leo tukijidili jinsi ya kuokoa vipaji na sanaa kwa ujumla, Mungu ibariki bongo fleva, Mungu ibariki Tanzania".
 
>> huyu madereva huyu ajiangalie ataendelea kupokea wageni mwisho wa siku watampa sheeda wengine sio watu wazuri kabisa watampa mkono wa hongera kumbe ndio ananyonywa damu>>
kwa bongo c lakushangaa sana
 
Back
Top Bottom