Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,483
- 40,003
Yanakuja mwishoni mwa kikao.....
Ina maana kwamba hakuna mtu yeyote atakayechukuliwa hatua za kisheria katika ufisadi wowote unaofanyika katika taifa letu, hakuna hata mmoja anayethubutu kumnyooshea mwenzake kidole na kumwambia hapa ulikosa. Wote ni kitu kile kile wanashirikiana kuimaliza hii nchi.
Muda mfupi uliopita, nimemsikia Spika wa Bunge, Samuel Sitta, akisema,
"Katika Mkutano wa Bunge uliopita, Mheshimiwa Anna Abdalah alisimama na kumuomba NAzir karamagi athibitishe kuhusu TICS kua ilijadiliwa na BAraza la MAwaziri. Yeye aliniletea barua ambazo hazikutosheleza sana. Niliagiza ofisi yangu iwasiliane na Ikulu, Jibu, Mkataba wa TICS ulifuata taratibu zote za kiserikali, ni dhahiri kwamba utaratibu ulihusika Natoa uamuzi kwamba Karamagi hakusema uongo."
Hii maana yake nini? Maana kuna uamuzi wa Bunge kwamba Mkataba wa TICS wa nyongeza haukufuata taratibu na serikali ifuate utaratibu wa kuufuta. Sasa hii ya sasa ina maana gani?

Sasa subirini majibu ya report ya EPA,, hamtaaminiHapo maana yake ni kwamba huo UFISADI tuliouimba kwa muda mrefu ngoma yenyewe inachezwa hivyo.
Hiii si hatari jamani? kweli utafika? hapa serikali yetu inatutania, ina maana hata Spika kasalimu amri? sawa .... kumbe haya yote ya ufisadi nayo hayatashughulikiwa,,,,,, hapa iko kazi, EEEEmungu tuasaidie sisi maskini wa taifa hili