Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Mshana Jr ,na wote.
Chunviiiii.Nami nagogotea msumari kuhusu chumvi wanaoamini wataamini wasioamini wakakojowe wakalale ,hivi punde tu nilisafiri na mke wangu kuelekea Nairobi kwa jamaa zake wa Kibohora basi Naam wkt wa kula kuna kibakuli cha chunvi kdg tukachukua kdg tukala licha kwamba ni traditional yao lkn kuna somo hapo hiyo ndio habari ya CHUMVI.
 
Kuna posts nilikuwa nazisoma kwenye 2014, kweli zilikuwa zina mambo mengi ambayo ukiyazingatia unaona majibu.
1. Kuna miti fulani hivi waiita mipanga uzazi ... kuna bibi mmoja alikuta naukata asubuhi alinambia "UMEJIONGEZA" sikumjibu.

2. Kuna mtu hapa JF alinambia kuwa mti wa mbaazi una maajabu mengi; nilipoupanda nyumbani .. kuna vibibi vilikuwa vimezoea kukatiza kwangu wakati hakuna njia rasmi ... viliacha na sasa hivi vinanisalimia kawaida - TULIKUWA HATUPATANI KWA SABABU HIYO

3. Kuna mti maarufu kama Jerusalem white flower - nimekuwa nikiutumia kuwasaidia wenye matatizo ya meno. Unafanya kazi vizuri

4. Kuna mti wa mlongelonge - nilijifunzia hapa hapa

Kwa ujumla mambo mengi nimejifuza kupitia hapa JF Big ap moddy
Kama una Mengi unayajua naomba unipatie na mm PM
 
Weka pakti ya chumvi ya mawe unapolala kitandani au kwenye dressing table inanyonya nguvu za wapumbavu wageuzao usiku kuwa mchana kutwa kuzunguka kwenye majumba ya watu badala ya kulala.
Pigia deki chumvi ya mawe kuondoa negative energy ndani kwako utosikia magomvi au nuksi nuksi
 
Kuna hili swala: mwanamke anakuloga, ukienda kufanya kitu kina sinyaa,nini cha kufanya kuondoa hili tatizo.
Kwa maelezo zaidi (ikiwa unataarifa sio za public) tuwasiliane chamilo_tz@yahoo.com
Broo hii nishawahi kuisikia kwa rafiki yangu mmoja huwa mwanamke anakuja na majani au kitu chochote amefunga fundo katika kanga yake au nguo yake yyote angalia kuna fundo ,kama ukiliona fungua toa kilichokfungwa tupilia mbali anza kazi yako.
 
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoisha
View attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeanza kuogea chumvi nina kama wiki mbili now ,kiukweli kuna wepesi flani nauona kwenye roho yangu na mwilini mwangu Nina jini ananisumbua si chini ya miaka 20 sasa ,ila Kwa muda huu naotumia naona ina muathiri Kwa kiasi flani Mshana Jr je nikiendelea nao Kwa hawa viumbe ambao wamekaa miaka mingi kwangu wanaweza wakatoka au Tiba hii kwao ni chamtoto Tu
Natanguliza shukrani
 
Chumvi inatakasa.. Unachofanya wewe ni kujitakasa kiroho kisha wao wataondoka wenyewe yakiwashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeanza kuogea chumvi nina kama wiki mbili now ,kiukweli kuna wepesi flani nauona kwenye roho yangu na mwilini mwangu Nina jini ananisumbua si chini ya miaka 20 sasa ,ila Kwa muda huu naotumia naona ina muathiri Kwa kiasi flani Mshana Jr je nikiendelea nao Kwa hawa viumbe ambao wamekaa miaka mingi kwangu wanaweza wakatoka au Tiba hii kwao ni chamtoto Tu
Natanguliza shukrani
Wahi kwa Mwamposa ukalitowe hilo pepo.
 
Mshana Jr ,na wote.
Chunviiiii.Nami nagogotea msumari kuhusu chumvi wanaoamini wataamini wasioamini wakakojowe wakalale ,hivi punde tu nilisafiri na mke wangu kuelekea Nairobi kwa jamaa zake wa Kibohora basi Naam wkt wa kula kuna kibakuli cha chunvi kdg tukachukua kdg tukala licha kwamba ni traditional yao lkn kuna somo hapo hiyo ndio habari ya CHUMVI.
Mwamba umetisha, kumbe kuna watu mmeowa mabohora humu?😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom