Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Mshana na kwa mimi nnaeota ndoto za ajabu ajabu.. kazi ndhafukuzwa.. naota ndoto za kurudishwa nyuma kama kufanya mitihani.. mara naokota noti, na hata kujarb hz dawa za asili.. chumvi pekee inaweza kunipa comeback na kurepair all the damage!?
 
Mshana na kwa mimi nnaeota ndoto za ajabu ajabu.. kazi ndhafukuzwa.. naota ndoto za kurudishwa nyuma kama kufanya mitihani.. mara naokota noti, na hata kujarb hz dawa za asili.. chumvi pekee inaweza kunipa comeback na kurepair all the damage!?
Itumie utaona maajabu yake
 
Itumie utaona maajabu yake
Nilianzaga kutumia mwaka jana wakat nauona huu uzi.. mambo yangu yalinyooka sana.. ila nilivyokuja kupoteza kazi na imani nyingi kuniingia.. nikiachana nayo kwa mda dah ndio mambo yakavulugika balaa..
 
Numependa hiyo psychic attack
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoisha
View attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Numependa hiyo psychic attack
 
Nawaza tu, kunyunyiza kwa kuzunguka kitanda ilhali vitanda vyetu vingi vipo ukutani kwenye kona hahahaa....
 
Back
Top Bottom