Gifted001
Member
- Apr 24, 2023
- 7
- 11
Nishaenda kote hukoWahi kwa Mwamposa ukalitowe hilo pepo.
Nishaenda kote hukoWahi kwa Mwamposa ukalitowe hilo pepo.
Shukrani,acha niendelee nayo ingawa toka juzi nahisi kama nimechokoza vita,kichwa kizito ,kifua kizito ila ushindi ni wanguChumvi inatakasa.. Unachofanya wewe ni kujitakasa kiroho kisha wao wataondoka wenyewe yakiwashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kupata majibu siku moja, keep on.Nishaenda kote huko
Usiache tafadhali endelea usikatishwe tamaa na lolote wala chochoteShukrani,acha niendelee nayo ingawa toka juzi nahisi kama nimechokoza vita,kichwa kizito ,kifua kizito ila ushindi ni wangu
Sina hakika lakini kwa uzoefu wangu yenyewe tu inatoshaKuna wengine wanasema ukitaka ifanye kazi Kwa haraka inatakiwa uchanganye na mchai chai ,je ni sahihi?
Sawa ,naamini nitaleta mrejesho mzuri jamvini hapa
Nitajaribu hii. Nimeipenda. Asanteeeeeeeeee 🙏🏾Weka pakti ya chumvi ya mawe unapolala kitandani au kwenye dressing table inanyonya nguvu za wapumbavu wageuzao usiku kuwa mchana kutwa kuzunguka kwenye majumba ya watu badala ya kulala.
Pigia deki chumvi ya mawe kuondoa negative energy ndani kwako utosikia magomvi au nuksi nuksi
2Fal2:19-23Kwa nini unapata shida kuweka imani yako katika chumvi na baadhi miti vilivyotengenezwa na Mwenyezi Mungu siku moja? Mungu mwenyewe katuhakikishia ulinzi wetu wa nafsi, mwili na roho zetu basi tuweke imani yetu kwake. Ukishafanya mambo ambayo ni kinyume na maelekezo ya Kimungu basi ujue unahatarisha usalama wako na hautakuwa salama atakama itachukua mda. Mambo mengine ni hatari japo yanapakwa asali. Ni ushauri na utakusaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji818][emoji1545][emoji173]2Fal2:19-23View attachment 2752178
Weka pakti ya chumvi ya mawe unapolala kitandani au kwenye dressing table inanyonya nguvu za wapumbavu wageuzao usiku kuwa mchana kutwa kuzunguka kwenye majumba ya watu badala ya kulala.
Pigia deki chumvi ya mawe kuondoa negative energy ndani kwako utosikia magomvi au nuksi nuksi
Naona unaweka nusu kilo ndugu km kiganja tuu mpk inatokeza kwenye jasho hapo tatizo lipo.Nimetumia sana naona faida, ila sisi ambao tunatafutia riziki juani, yaan ukitoka jasho likaingia mdomon unaisikia ile chumvi yote mdomon na ni kali kweli
Ok natmia iyo ngoja nitafute ya mawe.
...Ushubuda uko wapi ,??...Naleta shuhuda,nimeona matokeo baada ya kutumia chumvi ya mawe.