Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Usichome chumvi.. Ni kitu kibaya sana... Tunachoma chumvi pale tunapotaka kufanya manuizi mabaya
Imwage tu kuzunguka nyumba inatosha kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumbani hua bundi akionekana,au akisikika analia,hua wanachoma chumvi jikoni,na wananena kama umekuja na mabaya yako mrudishie aliekutuma.ndani ya sekunde bundi anakimbia.
 
Habari mshana naomba kujua ukiwa ukishainuia unaitia ndani ya maji je unasubiria iyeyuke ndiyo uoge? Au unaweza oga bila kusubiria iyeyuke? Na kama haijayeyuka mwisho ikibakia vipande unaweza achana navyo? Au naweza I brend kwenye Brenda halaf niogee? Naomba kama upo online unijib kesho InshaAllah nianze kazi mana nimechoka sana
Haiwi mapande makubwa hivyo huyeyuka haraka kwenye maji...kama ni kuiponda tumia njia nyingine sio brenda
 
Nyumbani hua bundi akionekana,au akisikika analia,hua wanachoma chumvi jikoni,na wananena kama umekuja na mabaya yako mrudishie aliekutuma.ndani ya sekunde bundi anakimbia.
Chumvi huzuia na kufukuZa vitu vibaya
 
Vp chumz ukayeyusha af ukachanganya na mafuta ya kupakaa ili uwe unatumia frequently
 
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoisha
View attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
Siamini hilo kabisaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom