Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Hii ya chumvi niliiona YouTube official channel ya BrightSide,nikajaribu...kweli tangu hapo mpka leo sioni mang'amu ng'amu,tana mimi nliweka kwenye kona4 za chumba na chin ya kitanda!!

Ngoja na mim nikaweke maana huwa nikilala chali naotaga ndoto mbaya sana,
 
Hii ya chumvi niliiona YouTube official channel ya BrightSide,nikajaribu...kweli tangu hapo mpka leo sioni mang'amu ng'amu,tana mimi nliweka kwenye kona4 za chumba na chin ya kitanda!!
Uliweka mara moja tu mkuu...
Au kila siku ukitaka kulala unaweka
 
Mtaalamu,fedha ukihifadhi kipi kinaweza zuia chuma ulete? Chumvi,ndimu,mkaa
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliweka mara moja tu mkuu...
Au kila siku ukitaka kulala unaweka
Niliweka mara moja,ila kama ikiyeyuka au ukiifagia unaweka tena...pembe nne za chumba na unamwaga na uvunguni....pia ukiingia YouTube ya hao Brightside utaona unaweza kuweka hata mlangoni kuzuia watu wabaya (wanafiki)
 
Sahihi kabisa
 
Mkuu inatumikaje hii chumvi
Biashara yangu sasa iko vizuri, mwili wangu naona umekuwa mwepesi mno kiutendaji na kimaamuzi. Napata usingizi vizuri sana, nikiamka asubuhi sisikii uchovu kama zamani
 
Niliweka mara moja,ila kama ikiyeyuka au ukiifagia unaweka tena...pembe nne za chumba na unamwaga na uvunguni....pia ukiingia YouTube ya hao Brightside utaona unaweza kuweka hata mlangoni kuzuia watu wabaya (wanafiki)
Nilizama nikaiona video yote......ni noma hadi wazungu wanaikubali aisee...
 
hahaahahaha. bac hakuna shida. mimi mgeni kabisa humu. na mimi nataka nikwambie kitu kimoja
chumvi ni kweri tiba na ni dawa ila tunapokosea kusema unapaswa uwe na imani fulani ndiyo ifanye kazi. mimi najua ukitumia siku7, 14 au 21 kwa utaratibu wa formula fulani itakutibu tu. hizo zingine huwa mbwembwe tu wala azisaidiii kabisa
formula furani?
si uiseme tu ndgu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom