Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

.
Usinitishe mshana
witch-craft.jpeg
 
Mshana naomba msaada niliwahi kupanga kwa mama mmoja wa kihaya kila mtu akawa ananiambia n mwanga… nmekaa mwaka mmoja kweli nilianza kuona mauzauza mtoto wangu mchanga alikuwa akilia sana ucku km mtu anayeogopa kitu juu ya dari… cku ingine nmeamka asbh nikakuta kinyesi mlangoni.. Cku nyingine nguo ya mtoto. Iliyoanikwa ikapotea ..nilihama pale lakin toka cku hiyo mtoto wangu hayupo sawwa ni km kuna mtu anamuongelesha kichwani kwake unaeza ukawa unamfundisha mwenzio anatabasamu nimehangaika sana kiukwelizake… na cna raha… je nikitumia chumvi inaweza kumsaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia chumvi... Amefungwa kwenye hiyo nguo iliyopotea... Chumvi itazuia hasara zaidi na itamkinga.. Lakini tatizo litachukua muda kidogo kuisha
Mshana naomba msaada niliwahi kupanga kwa mama mmoja wa kihaya kila mtu akawa ananiambia n mwanga… nmekaa mwaka mmoja kweli nilianza kuona mauzauza mtoto wangu mchanga alikuwa akilia sana ucku km mtu anayeogopa kitu juu ya dari… cku ingine nmeamka asbh nikakuta kinyesi mlangoni.. Cku nyingine nguo ya mtoto. Iliyoanikwa ikapotea ..nilihama pale lakin toka cku hiyo mtoto wangu hayupo sawwa ni km kuna mtu anamuongelesha kichwani kwake unaeza ukawa unamfundisha mwenzio anatabasamu nimehangaika sana kiukwelizake… na cna raha… je nikitumia chumvi inaweza kumsaidia

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom