Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Kaka Mshana nimeproove miracles live live aiseeee......nimesoma juz hii makala ya chumv kama tiba mbadala nikafanya na ka utafiti kdgo kwnye maandko matakatifu kujiridhisha.....then nikaanza kutumia kuanzi siku hyo hyo (juzi)......Maana mm ni mtu wa action on time...


USHUHUDA
Nilianza kwa kununua hyo chumvi asili (ya mawe) usiku huohuo nilipo maliza kusoma hii makala (ya chumv)....nikaweka kwnye maj yang ya kuoga, nikanuia kisha nikaoga.....nyingine kibabe nikaweka pia chin ya mto wa kulalia.....Miracle iko hapaaaa.....

Nilikiwa sipati usingzi vzur, nikiamka mwil umechoka sanaa, najihisi kuwa na hang over ya uchovu,kichwa kuuma xanaa.....najihisi uvivuu xanaaa hata kuamka...mana huwa naaamka saa 11 na natoka kwnye ujasiriamal wang saa5 ucku....pa1 na kaz nazofanya sidhan kama ndio kuniletea uchovu wote uleeee..... pia kilikuwa na ishu ya kutokwnda mambo sawa (deals)......sasa basi........picha linaanza next morning yan janaa nililala hata Alam sikuisikia kama kawaida hvyo nikaanshwa saa 12:24 halafu bas mwil uko fresh xanaa bila uchovu hata kdgo, moyon nina furaha flan hiv, nimechangamkaaa........na mambo mengine nikaona yamefungukaaa yaaan nataman ujue how happy n shocked i am....


Asanteee xana wadau wote hasa mr。Mshana Jr. Kwa kuleta hili somo........napenda kujifunza mengi...
Kuweka chumvi chini ya mto ndiyo mambo yako yamenyooka ivyo?

Mhh
 
[emoji44][emoji44][emoji44]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mshana hawezi kunidunda huyo
lamp-small.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom