Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Biashara yangu sasa iko vizuri, mwili wangu naona umekuwa mwepesi mno kiutendaji na kimaamuzi. Napata usingizi vizuri sana, nikiamka asubuhi sisikii uchovu kama zamani
Mkuu nsanzu ni vizuri ukifafanua ili wengine tujifunze umeitumiaje katika kuweka mazingira mazuri ya kibiashara.?

Na pia kuufanya mwili na usingizi kua mzuri ?

Ushuhuda wako utakua msada kwa wengi hapa.
 
Kama kawaida yako, umemwaga madini tena Mshana Jr kudos, ila ya kubeba kamkaa ndugu yangu mifukoni itakuwa shughuli kwangu, labda niuviringishe kwenye plastic! Hahahaha...
 
Mimi nimelelewa na babu yangu, nikiwa mtoto mdogo pindi mvua kubwa ikinyesha na upepo mkali kwa pamoja nilikuwa naona babu yangu Anachukua chumvi na kurusha nje.
Mara baada ya kitendo hicho, mvua na upepo mkali hutulia tuli. Na mvua inaaza kunyesha kawaida.
 
Kama kawaida yako, umemwaga madini tena Mshana Jr kudos, ila ya kubeba kamkaa ndugu yangu mifukoni itakuwa shughuli kwangu, labda niuviringishe kwenye plastic! Hahahaha...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
mkaa tayari, Chumvi ratiba inaanza leo
 
And one of the condiments with most economic connotations is without a doubt salt, which was used historically as a currency and this is where the word salary has its origins. So, to keep our home from every lacking money, there should always be a recipient with salt, and it isn't recommended to loan it to a neighbor as much as they may ask. In Ukraine, on Monday's not only is it bad luck to loan salt, but also any other condiment that you may have.

Other foods that are associated with good fortune include fish -in certain areas of central Europe its scales are kept in wallets-, parsley, honey, sugar, black-eyed peas, grapes, or even spaghetti!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom