Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Chumvi naitumia sana nikiona vitu nisivyovielewaelewa,huwa nanyunyizia nyumba nzima
Nalog off
 
duh naanza kuamini maana zamani ukitumwa dukani kununua chumvi usiku wanakwambia kabisa usiseme chumvi sema nataka dawa wakikuuliza dawa ya nini? unajibu tu ya mboga ! unapewa chumvi
 
Wakuu mrejesho kuhusu maajabu ya chumvi.
1.NALALA USINGIZI MNONO BILA MANG'AMUNG'AMI
2.WASIO JULIKANA WANA NG'OA MIMEA YANGU MBALIMBALI WAKIJUA NDO KIZUIZI CHA WAO KUINGIA NAKUFANYA UBAYA WAO
3.KIPATO KINAKAA MKONONI
4.MAELEWANO NA BAADHI YA MAJIRANI YANARUDI
NITAENDELEA KULETA MREJESHO WAKUU
Kweli kabsa.. imagn leo cku ya nne nmetoka kuoga.. mara nkaona mama jirani ananiangalia kwa jicho la mapenzi paka nkashangaa huyu vip.. baadae nkawa nmekaa kwangu mlangoni, majirani wangu wote wawili wakanifuata mahali nlikua, tukaja piga ctory na kucheka sana paka ucku ulipoingia.. ni kweli chumvi ni dawa..
 
Mmh... [emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
HHii ndo mm yanisumbua saii.. wasichana hawanipendi kabsa.. hata nikijaribu vip
 
Yani ni maji ya chumvi nyingi yanatakasa! Hii ndio tafsiri yake
Kuna msemo mmoja hivi mtu ukiwa unaandamwa na mikosi na hata kuchezea vibuti sana kwa watoto wazuri!!! Wanasema kaoge maji ya bahari.. Je haya maji huwa yanasaidia sababu ya chumvi yake au huwaga ni story za vijiweni mkuu mshana?
Sent From Guest House
kwahyo nikienda beach once nishamaliza mikosi yote. au nifate dozi ya 7,14$21
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom