Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Hiv mshana unaweza kutumia chumvi sehemu ya biashara hasa eneo kama bar Nina bar yangu mbali na kuboresha na kufanya ukarabati wa nguvu na kuweka wadada wazuri lakin bado biashara haipo vizur lakin nakumbuka kuna bibi jiran yangu aliwahi kuniambia tutaona kama utafanya biashara nilishangaa sijawahi kumkosea wala nin nilitaka wazee wa kuniulizia wap nimekosea hakuwa na jibu. Na huyo ni mchawi hatari kwa mujibu wa Maelezo ya wazee pale mtaani

I think maybe unaweza kunishauri ili nifanye nin kuweka sawa biashara nishauri kuhusu ulimwengu wa pili huko

Kuna vitu hujaweka sawa :-

Kamati ya ufundi mtafute 4040 atakwambia au wale wapare wa great park bar.

Dj mzuri anayejua kupangilia ngoma, namaanisha music! Siyo kabiga bongofleva mara karukia reggae mara yuko boringo. Anayejua kupangilia ngoma kutokana na siku na wasaa.

Malaya, hapa kamwone maseke wa kwetu pazuri atakwambia anafanyaje kuhusu malaya wazuri. Mlevi akilewa anachohitaji ni chura.

Ahsante ni hayo tu!
 
Mkuu hayo yote nimefanya na zaid ya hapo nilitengeneza mfumo flan ambao kwenye kiufupi nimejitahid lakin changamoto ni nzito
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mkuu hayo yote nimefanya na zaid ya hapo nilitengeneza mfumo flan ambao kwenye kiufupi nimejitahid lakin changamoto ni nzito
 
Hiv mshana unaweza kutumia chumvi sehemu ya biashara hasa eneo kama bar Nina bar yangu mbali na kuboresha na kufanya ukarabati wa nguvu na kuweka wadada wazuri lakin bado biashara haipo vizur lakin nakumbuka kuna bibi jiran yangu aliwahi kuniambia tutaona kama utafanya biashara nilishangaa sijawahi kumkosea wala nin nilitaka wazee wa kuniulizia wap nimekosea hakuwa na jibu. Na huyo ni mchawi hatari kwa mujibu wa Maelezo ya wazee pale mtaani

I think maybe unaweza kunishauri ili nifanye nin kuweka sawa biashara nishauri kuhusu ulimwengu wa pili huko
Sorry nilikuwa sijaona hii reply yako fanya hivyo tena tumia chumvi kwa wingi matokeo utayaona
 
Nilipewa hiyo chumvi ya mawe kama kilo mbili hivi, imetoka kanisani kabisa kuombewa.

Nilikua naishi peke angu kipindi hicho, nilivohamia hiyo Nyumba sikumwaga chumvi wiki kama mbili nalala fresh tu yani shwari, wiki ya tatu nipo napanga panga nikaiona chumvi nikapata wazo la kumwaga, nikaimwaga ndani wala sikunuia kitu niliimwaga tu aseee siku hiyo sikulala, nikianza tu kusinzia naona mtu kasimama kwenye pazia naamka, ilikua ni kufumba fumbua hadi kumi na moja asubuhi, nikaamka nikaenda job. Kesho yake hivo hivo ndoto za mauza uza tu mara naota mdada kavaa white tupu ananisemesha huku kabeba njiwa, na ile Nyumba ilikia na njiwa wengi.

Siku hiyo mchana nmelala, nakumbuka haikua ndoto japo nimelala ila nina fahamu zote ila mwili mzito siwezi hata kufumbua jicho, nikawa nahisi mtu kalala pembeni yangu namsikia kabisa anajigeuza ila ndo siwezi kuamka, nikapapasa nikahisi nimeshika trak suti, kifuani hana nyonyo, nikawaza mbona mwanaume au faza hausi kaja, kushika kichwa duh ana upara hapo ndo nikajua sio yeye make faza hausi ana afro..... Nilikirupuka nywele zinasisimka, natetemeka nikabeba nguo za job nikaenda kwa ndugu, nilirudi mule baada ya miezi mitatu kubeba vitu vyangu.
Nakumbuka mkataba wa nyumba uliandikwa ukihama unarudishiwa kodi sikuomba hata mia, nilivoondoka maza hausi ananipigia anacheka tu unarudi lini shwain zake!!!!
sikumbuki hata chumvi nilikoitupa
Hahahaha kwahio uliamsha dude sio? Natamani utoe movie ya hilo tukio utauza sana amini hivyo!
 
Uwekapo chumvi kwenye maji inaruhusiwa kuoga na sabuni!!? Maana wale jamaa uhangaikaji na maisha wakikupa usembe wao ukiweka kwenye ndoo ya maji hutakiwi kuoga na sabuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom