Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,278
- 4,303
Na mfupa wa nguruwe je?
True hata mashambani ili kukukinga na nguvu hasi za uharibifu wa mazao,ikiwemo upotevu,tumia chumvi weka pembeni NNE za SHAMBA huku ukinuiza( kuombea utakacho) then laws of nature itatenda ukiwa na imani hakuna kibaya kitakacho dhuru mazao yako au mifugo yako.Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk
Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake
Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi
MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.
Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038
Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039
Alamsiki.......!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Scientifically is not spirituality, scientifically is dealth with scientific and spirituality with spirituality.this does not work scientifically.
Unaweza kuendelea hata kwa mwezi na zaidi hakuna shida, unaweza kufanya mara mbili au mara moja bila tatizo piaSomo zuri sana. Ila naomba uhakiki katika hili. Je naweza kuogea nara mbili au zaidi kwa siku kwa siku saba then nikaendelea siku ya nane? Au naoga mara moja kwa siku na kwa siku 7 tu au 14
Mkuu wachawi wananikera sana nifanyeje kila siku wananichanja
Shukran mkuu mshana jr