Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

sasa maji yenyewe ninayotumia yana chumvi nikiongeza na chumvi tena siitakuwa balaaa sasa
 
Mkuu kwahiyo ukianza kutumia ni kama unakuwa unazuia "shughuli" za watu hivi lazima utakuwa vitani kwa muda na unatakiwa usiache sivyo? Hawawezi kuwa wanakuwinda sasa au chumvi ndo itamaliza kila kitu
Ukiwa stagnant huwa wanakata tamaa na kuondoka
 
Ilitatiza ratiba hivyo wakawa wanapambana naye
Hiv mshana unaweza kutumia chumvi sehemu ya biashara hasa eneo kama bar Nina bar yangu mbali na kuboresha na kufanya ukarabati wa nguvu na kuweka wadada wazuri lakin bado biashara haipo vizur lakin nakumbuka kuna bibi jiran yangu aliwahi kuniambia tutaona kama utafanya biashara nilishangaa sijawahi kumkosea wala nin nilitaka wazee wa kuniulizia wap nimekosea hakuwa na jibu. Na huyo ni mchawi hatari kwa mujibu wa Maelezo ya wazee pale mtaani

I think maybe unaweza kunishauri ili nifanye nin kuweka sawa biashara nishauri kuhusu ulimwengu wa pili huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom